NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Through experience nimeona wababa wengi sana wanahonga pesa nyingi kwa vimada lakini hawawatunzi wake zao ipasavyo. Utakuta mwingine hata watoto anashindwa kuwalipia ada ila kimada kinatunzwa haswa. Kuna mmoja namjua yeye kapangisha double room mtaani ila kimada kampangishia self contained!!! hii ni akili kweli? Mmoja ana kampuni kubwa tu halafu ofisini kamuweka kimada na wife anafanya vibarua kwenye mashamba ya mauwa. this is shame. Utakuta libaba likienda kwa kimada linabembelezwa uwongo na kweli basi linaona linapendwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe wapi unafanywa zoba. You should learn to love your wives and dont waste time with SUB-HOUSE.
Kam kuna mwenye tabia hii huku kwa great thinkers acha mara moja.
Kam kuna mwenye tabia hii huku kwa great thinkers acha mara moja.