Wababa muwe mnajali wake zenu

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Through experience nimeona wababa wengi sana wanahonga pesa nyingi kwa vimada lakini hawawatunzi wake zao ipasavyo. Utakuta mwingine hata watoto anashindwa kuwalipia ada ila kimada kinatunzwa haswa. Kuna mmoja namjua yeye kapangisha double room mtaani ila kimada kampangishia self contained!!! hii ni akili kweli? Mmoja ana kampuni kubwa tu halafu ofisini kamuweka kimada na wife anafanya vibarua kwenye mashamba ya mauwa. this is shame. Utakuta libaba likienda kwa kimada linabembelezwa uwongo na kweli basi linaona linapendwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe wapi unafanywa zoba. You should learn to love your wives and dont waste time with SUB-HOUSE.

Kam kuna mwenye tabia hii huku kwa great thinkers acha mara moja.
 
Through experience nimeona wababa wengi sana wanahonga pesa nyingi kwa vimada lakini hawawatunzi wake zao ipasavyo. Utakuta mwingine hata watoto anashindwa kuwalipia ada ila kimada kinatunzwa haswa. Kuna mmoja namjua yeye kapangisha double room mtaani ila kimada kampangishia self contained!!! hii ni akili kweli? Mmoja ana kampuni kubwa tu halafu ofisini kamuweka kimada na wife anafanya vibarua kwenye mashamba ya mauwa. this is shame. Utakuta libaba likienda kwa kimada linabembelezwa uwongo na kweli basi linaona linapendwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe wapi unafanywa zoba. You should learn to love your wives and dont waste time with SUB

Kam kuna mwenye tabia hii huku kwa great thinkers acha mara moja.

kama nakuona ulivyokuwa unaandika hapo teh teh...:A S 13:
 
Sasa wewe wewe unaetaka kua kimada wa aliyeoa unamshauri alieoa asipoteze muda na kimada!?Kaazi kweli kweli!
 
Am learning thru your articles kama hii coz mi bado sijafikia huko ila nimethamini mchango wa post yako hii japo ina ka-jazba fulani vileeee!
 
Daaaaa kumbe ndo unavyowafanyiaga??
Not enough bwana!!
 
We dada leo una visa na wababa eeh?
Ngoja tuhamishie kambi huku...
Si un amjua Allien eeh?
 
Sasa wewe wewe unaetaka kua kimada wa aliyeoa unamshauri alieoa asipoteze muda na kimada!?Kaazi kweli kweli!

Huyu ana double standard.... inavoonekana alimtega mume wa mwenzake akamkosa, mumewe akasoma chezo akaamua awe na nyumba ndogo.... ndo maana analalamika... ukifuatilia post za huyu dada utaliona hilo!!
 
Jamani LD yamekuwa hayo tena?

Not enough kama umenisoma kuna kitu nataka ujifunze dada angu, mi nakupenda sana na Mungu naye anakupenda.
Kuna siku nilikuambia angalia sana thread unazopost usipost tu kwa sababu unataka kupost hapana. Wala usichukue maneno ya kijiweni ukayapost humu kwa generalize watu.

Hizo thread za kutamani mume wa mtu, na ile uliyotushambulia wadada na kutupasha kabisa kama vile una bifu na mtu mi zilinifanya nisiwe nakuelewa hata kidogo!! Na kwa bahati mbaya sio mimi peke yangu hata na hao kina kaka/wababa pia, ndo maana nimekwambia kule usilalamike sana mama, matatizi umeyasababisha mwenyewe!!!!!

Labda uanze lkubadilika na ubehave kiutu uzima sasa!!
 
We dada leo una visa na wababa eeh?
Ngoja tuhamishie kambi huku...
Si un amjua Allien eeh?

Leo nimeamua kuwapa dozi kubwa, tena huyo Allien nina wasiwasi nae sana bcoz he has alot of technics and am not sure if he is committed or not.
 
Leo nimeamua kuwapa dozi kubwa, tena huyo Allien nina wasiwasi nae sana bcoz he has alot of technics and am not sure if he is committed or not.

Mkuu NE, una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia. You need help kabla hujachanganyikiwa and it is not late.

From your threads and posts, haimpti tabu mtu yeyote kukusoma wewe ni mtu wa namna gani na unafanya nini.

Thread yako hii haina supporting facts zozote zaidi ya kujaa hisia na majungu.

Give us a break Madame.

Respect.
 
Through experience nimeona wababa wengi sana wanahonga pesa nyingi kwa vimada lakini hawawatunzi wake zao ipasavyo. Utakuta mwingine hata watoto anashindwa kuwalipia ada ila kimada kinatunzwa haswa. Kuna mmoja namjua yeye kapangisha double room mtaani ila kimada kampangishia self contained!!! hii ni akili kweli? Mmoja ana kampuni kubwa tu halafu ofisini kamuweka kimada na wife anafanya vibarua kwenye mashamba ya mauwa. this is shame. Utakuta libaba likienda kwa kimada linabembelezwa uwongo na kweli basi linaona linapendwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe wapi unafanywa zoba. You should learn to love your wives and dont waste time with SUB-HOUSE.

Kam kuna mwenye tabia hii huku kwa great thinkers acha mara moja.

...mnh, the case of "Value for money!"
 
Leo nimeamua kuwapa dozi kubwa, tena huyo Allien nina wasiwasi nae sana bcoz he has alot of technics and am not sure if he is committed or not.

Kama niko committed au siko committed; that is not an issue here. Hili ni jukwaa na kuelimishana WHERE WE DARE TO TALK OPENLY. Of course ni vema basi kukiwa na basis ya hiyo openness.

Respect.
 
Kama niko committed au siko committed; that is not an issue here. Hili ni jukwaa na kuelimishana WHERE WE DARE TO TALK OPENLY. Of course ni vema basi kukiwa na basis ya hiyo openness.

Respect.

so what do u need me to clarify?
 
Ushauri mzuri sa NE ila siku zote unapotaka kumbadilisha mtu unatakiwa utumie maneno yasiyo na ukali, usiwe na jazba na uongee kiupendo, huruma na kwa utaratibu. Isiwe kama unampa mipasho ile ya kwenye taarabu. Sawa eeh?
Ngoja nikugongee kathanks.
 
so what do u need me to clarify?

Stop confusing people na thread zako zinazoji-contradict. Stop double standards. Be honest. Transform.

In fact tumeshakusoma sana. We know what is in your mind hata tabia zao.

Tunaweza kujibu post zako zote kwa kukuwekea post zako mwenyewe zikujibu.

Uko very controversial.
 
Ushauri mzuri sa NE ila siku zote unapotaka kumbadilisha mtu unatakiwa utumie maneno yasiyo na ukali, usiwe na jazba na uongee kiupendo, huruma na kwa utaratibu. Isiwe kama unampa mipasho ile ya kwenye taarabu. Sawa eeh?
Ngoja nikugongee kathanks.

Unamfahamu anayekupa ushauri?
 
Back
Top Bottom