Waathirika 4166 wa Mafuriko Katavi wapewa misaada yenye thamani ya Sh Milioni 113

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,941
12,234
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo.

Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113.

Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo ya mkoa huo yalikumbwa na mvua kali iliyosababisha mafuriko na wananchi kupata adha ya mafuriko hayo.
 
Back
Top Bottom