Waasisi wa lile ‘Genge la Mtandaoni’ la kuipinga Awamu ya Sita kwa malengo yao kikabila wanajulikana!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.

Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.

Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.

Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.

Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa Kimarekani.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.

Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.

Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni.
 
Tunawatwanga tu, mama Samia Suluhu Hassan tupo nae na tuna mpa back up ,vijana wanafurahia pesa imeanza kuingia mtaani ,watu wanajenga sana kwa sasa wanaongeza mzunguko wa pesa.

Umeme 27000 watu watafunga sana ila hapa waziri nampa ushauri tu asimamie vizuri ili kusiwe na urasimu na kubanabana.
 
Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu
Nilitaka kukuunga mkono kwenye mada yako hii, kuhusu hilo genge ambalo umelizungumzia lakini wahusika ukaamua kuwatambua kuwa ni yeyote atakayempinga mama.

Kwa hiyo nami nikaona nawe nikuweke kwenye 'genge' la upande huo wa mama.

Magenge yenu hayatufai sisi tunaoshabikia Tanzania na waTanzania kwa jumla.

Mama tutamsifu atakapostahili kusifiwa, na tutampinga popote atakapokuwa amepotoka.

Hatuhitaji kuwa kwenye magenge yenu kufanya kazi hiyo muhimu.
 
Hao “mabeberu” huwa hawatulazimishi kuwagawia bure rasilimali zetu. Ni viongozi wa serikali ya CCM hupenda kuandaa na kusaini mikataba ya kifisadi na “mabeberu”, period. “Beberu” akidai mkataba safi usio na ufisadi ananyimwa fursa na kutangaziwa kila aina ya mipasho.

Wapinzani wakidai mikataba ijadiliwe bungeni wanashambuliwa kwamba hizo ni “siri za nchi”. Kufichua ufisadi ni usaliti kwa taifa; eti unalivua nguo taifa! Ndio sababu hadi leo CHADEMA inatambulika na serikali na manazi wake kama “public enemy number one”. Mwendazake alitaka kuiangamiza na viongozi wake literally.

Huu ujinga wa kudai “mabeberu” wanataka kutuibia ni aibu kubwa sana ya awamu ya 5. Hata corona: eti nayo ni njama za mabeberu kutaka kutuibia rasilimali zetu; wtf! Hakuna mkoloni anayemshikia bunduki mtu siku hizi. Mnajipeleka wenyewe na propoza zenu za kiwizi halafu mnadai mmebakwa! Mbona nchi makini zinasaini mikataba ya maana sana?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽
Nilitaka kukuunga mkono kwenye mada yako hii, kuhusu hilo genge ambalo umelizungumzia lakini wahusika ukaamua kuwatambua kuwa ni yeyote atakayempinga mama...
 
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.

Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.

Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.

Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.

Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa kimarekani.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.

Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.

Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni
Wewe mwenyewe umejaa upumbavu tu, mara unasema yuko gizani kwa hiyo wewe ni MUNGU unayeweza kumhukumu mtu aende kenye giza ama kwenye mwanga, unajitwika uzalendo uchara acha kuwapangia watu cha kufanya ndo maana hata Rais Samia kasema watu wawe na uhuru wa kutoa mawazo yao. Unajifanya kumuunga mkono mama wakati huo ukiwataka watu wawaze kama wewe. Hivi wewe ni nani? Mwache Magufuli apumzike na mwache mama Samia afanye kazi .
 
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.

Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.

Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.

Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.

Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa kimarekani.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.

Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.

Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni
Kama wanajulikana kwa nini hauwataji kwa majina yao?

Amandla...
 
Hao “mabeberu” huwa hawatulazimishi kuwagawia bure rasilimali zetu. Ni viongozi wa serikali ya CCM hupenda kuandaa na kusaini mikataba ya kifisadi na “mabeberu”, period. “Beberu” akidai mkataba safi usio na ufisadi ananyimwa fursa na kutangaziwa kila aina ya mipasho.

Wapinzani wakidai mikataba ijadiliwe bungeni wanashambuliwa kwamba hizo ni “siri za nchi”. Kufichua ufisadi ni usaliti kwa taifa; eti unalivua nguo taifa! Ndio sababu hadi leo CHADEMA inatambulika na serikali na manazi wake kama “public enemy number one”. Mwendazake alitaka kuiangamiza na viongozi wake literally.

Huu ujinga wa kudai “mabeberu” wanataka kutuibia ni aibu kubwa sana ya awamu ya 5. Hata corona: eti nayo ni njama za mabeberu kutaka kutuibia rasilimali zetu; wtf! Hakuna mkoloni anayemshikia bunduki mtu siku hizi. Mnajipeleka wenyewe na propoza zenu za kiwizi halafu mnadai mmebakwa! Mbona nchi makini zinasaini mikataba ya maana sana?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CCM imejaa wapigaji tupu
 
Tunawatwanga tu, mama Samia Suluhu Hassan tupo nae na tuna mpa back up ,vijana wanafurahia pesa imeanza kuingia mtaani ,watu wanajenga sana kwa sasa wanaongeza mzunguko wa pesa.

Umeme 27000 watu watafunga sana ila hapa waziri nampa ushauri tu asimamie vizuri ili kusiwe na urasimu na kubanabana.
Kwa Sasa pesa imetapakaa mitaani ukitembea tu barabarani unaziokota.
 
Mfadhili wao huyu hapa
FB_IMG_1618549208269.jpg
 
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.

Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.

Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.

Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.

Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa Kimarekani.

Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.

Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.

Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni.
NI WALE waliokuwa wanasema mitano tena, na wengine walisema mpaka 2035,
 
Back
Top Bottom