Waandishi wa habari kuvaa sare za vyama kama huyu Gerson?

Mkuu kumbuka huyu ni mfanyakazi wa umma-sheria inasemaje kwa mfanyakazi wa umma kujihusisha na siasa akiwa mfanyakazi wa umma.

kwa mujibu wa sheria za nchi yetu mtumishi wa umma anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, lakini haruhusiwi kugombea uongozi ndani ya chama na endapo ataamua kufanya hivyo basi atalazimika kuacha kazi kwenye utumishi wa umma. Kwa hiyo msigwa kama ni mwanachama tu wa CCM hakuna kosa.
 
Mkuu kumbuka huyu ni mfanyakazi wa umma-sheria inasemaje kwa mfanyakazi wa umma kujihusisha na siasa akiwa mfanyakazi wa umma.

Mfanyakazi hakuna shida kama atafanya siasa akiwa na Ccm chama chenye serikali lakini akiwa upinzani tutamshughulikia , Ccm ndio tuliowaajiri.
 
Hivi kuna mfanyakazibwa TBCCM ambaye siyo mwanachama wa CCM kweli? Sidhani, alikuwa Tido tu ambaye hakuwa mwanaCCM na baadaye walipogundua wamekosea walimpiga chini!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kwa mujibu wa sheria za nchi yetu mtumishi wa umma anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, lakini haruhusiwi kugombea uongozi ndani ya chama na endapo ataamua kufanya hivyo basi atalazimika kuacha kazi kwenye utumishi wa umma. Kwa hiyo msigwa kama ni mwanachama tu wa CCM hakuna kosa.

Mwalimu au Daktari anaruhusiwa kuvaa sare darasani au anapohudumia wagonjwa?
 
Waandishi wa habari ni watumishi wa UMMA? hata wa TANZANIA DAIMA?

Mungu wangu! hivi kweli we una akili kweli? ha ha ha mpaka leo unashindwa kujua kuna public and private sectors? duuh nakubali we kweli choo.
 
1017507_677642678950888_8875269705373264700_n.jpg

Anaitwa Grayson Msigwa yuko TBC mikoa ya kusini huko.Je hii ni sawa lakini.
Aione Pasco na wenzake
Kwa bahati nzuri sana, nimetokea kumfahamu Gerson Msigwa, kwanza kati waandishi wa TBC wa reportage, he is of of the best of the best they have!, the guy is good!.

Pili katika reporting yake always yuko very professional, truthfully, objective, impartial na most of the time huwa ana balance stories zake, hivyo kwa upande wa professionalism as a journalist yuko ok!.

Tukija kwenye uandishi na siasa, amini usiamini hiyo kofia atakuwa amepewa tuu, kama alivyopewa yule balozi wa China!, na kwa vile ni mtumishi wa TBC, kuvaa sare za CCM, inawezekana isiwe a big deal lakini kama angevaa sare ya Chadema, it would have been a very big deal!, ila pia ukiwa mwandishi ukashabikia CCM, inalipa!, ndivyo walivyofanya kina Salva Rweyemamu, Muhingo Rweyemamu, Jackline Liana, Ahamed Kipozi, Betty Mkwasa, Mohamed Mzee, etc, ambao wote walikuwa waandishi na tulikuwa nao newsroom, sasa ni watu wengine, hivyo you never know kesho Gerson atakuwa nani na wapi kisa ni hiyo kofia tuu!.

Na Chadema nao wanao waandishi wao, kwenye gezeti lao la Tanzania Daima, watu kama kina Josephat Isango, Ansber Ngurumo, hadi waligombea ubunge.

Sisi waandishi tunapaswa kuonyesha neutrality ila katika kazi zetu, ila pia tuna uhuru wa kuwa wanachama wa chama chochote ila hatupaswi kushabikia chama chochote!.

Ila ili ufanye kazi yako vizuri na kwa uhuru, unapaswa kuwa huru kiukweli kweli toka ndani ya nafsi yako kama jinsi mimi nilivyo, japo nina chama, lakini niko neutral kabisa na very objective!.

Niliwahi kufanya kazi TBC, na nilikuwa incharge wa vipindi vya siasa, nilifukuzwa kazi kwa tuhuma za kushabikia upinzani, na hadi sasa hapa nilipo, CCM wanaamini kabisa mimi ni pro-opposition, huku opposition wakiamini kabisa kuwa mimi ni pro -CCM!.

Kwa vile najijua jinsi nilivyo, hainipi taabu kabisa kwa CCM kuamini mimi ni pro opposition na wala wapinzani kuamini mimi ni pro CCM, as long as I'm a journalist, naripoti truthfully with objectivity and impartiality, niko ok.

Pasco
 
Demokrasia ya vyama vingi bado changa ingawa inakua....

vitu vingine ita take time kueleweka
 
Kwa bahati nzuri sana, nimetokea kumfahamu Greyson Msigwa, kwanza kati waandishi wa TBC wa reportage, he is of of the best of the best they have!, the guy is good!.

Pili katika reporting yake always yuko very truthfully, objective, impartial na most of the time huwa ana balance stories sake, hivyo kwa upande wa professionalism as a journalist yuko ok!.

Tukija kwenye uandishi na siasa, amini usiamini hiyo kofia atakuwa amepewa tuu, kama alivyopewa yule balozi wa China!, na kwa vile ni mtumishi wa TBC, inawezekana isiwe a big deal kama angevaa ya Chadema!.

Sisi waandishi tunapaswa kuonyesha neutrality ila katika kazi zetu, ila pia tuna uhuru wa kuwa wanachama wa chama chochote ila hatupaswi kushabikia chama chochote!.

Ila ili ufanye kazi yako vizuri na kwa uhuru, unapaswa kuwa huru kiukweli kweli toka ndani ya nafsi yako kama jinsi mimi nilivyo, sina chama kabisa!.

Niliwahi kufanya kazi TBC, na nilikuwa incharge wa vipindi vya siasa, nilifukuzwa kazi kwa tuhuma za kushabikia upinzani, na hadi sasa hapa nilipo, CCM wanaamini kabisa mimi ni pro-opposition, huku opposition wakiamini kabisa kuwa mimi ni pro -CCM!.

Kwa vile najijua jinsi nilivyo, hainipi taabu kabisa kwa CCM kuamini mimi ni pro opposition na wala wapinzani kuamini mimi ni pro CCM, as long as journalist, naripoti truthfully with objectivity and impartiality.

Pasco

pasco hizo sentensi mbili zinapingana ulifukuzwa kwa kuonekana unashabikia ccm halafu na yeye tena ashabikie chadema asifukuzwe it does not make sense
 
1017507_677642678950888_8875269705373264700_n.jpg

Anaitwa Grayson Msigwa yuko TBC mikoa ya kusini huko.Je hii ni sawa lakini.
Aione Pasco na wenzake

Jina lake ni Gerson Msigwa ni mwandishi wa habari wa TBC kwa muda mrefu zaidi ya miaka 10, na alifanya coverage nzuri sana wakati wa kampeni za kwanza za Kamanda Obama kule USA akiwa amepelekwa na Tido Mhando kwa niaba ya TBC na taarifa nilizo nazo kwa sasa yuko Magogoni kupiga kazi za Amiri Jeshi Mkuu wetu.
 
Last edited by a moderator:
pasco hizo sentensi mbili zinapingana ulifukuzwa kwa kuonekana unashabikia ccm halafu na yeye tena ashabikie chadema asifukuzwe it does not make sense
Mkuu Politiki, asante kuliona hili, the correct version ni
Tukija kwenye uandishi na siasa, amini usiamini hiyo kofia atakuwa amepewa tuu, kama alivyopewa yule balozi wa China!, na kwa vile ni mtumishi wa TBC, kuvaa sare za CCM, inawezekana isiwe a big deal lakini kama angevaa sare ya Chadema, it would have been a big deal!.
 
Back
Top Bottom