Waandishi wa habari Iringa wamgomea Robert Manumba!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Ktk muendelezo wa msimamo wa waandishi wa habari nchini kugomea kuandika habar zihusuzo polisi na maagents wao umechukua ukurasa mpya baada ya leo waandishi wa habari mkoani iringa walipogemea mwaliko wa kamishina wa makosa ya jinai nchini Robert Manumba (Gamba asilia) ambapo alihitaji kuzungumza nao.

The Struggles aluta continua.
Fear not.
 
It is almost too late, jeshi la police linaelekea kupoteza uhalali wa kuwepo kwake.
 
Mungu mtakatifu tuokoe.Damu ya Mwangosi inalilia haki yake toka ardhini.
 
Msimamo huu uendelee maana tumechoka, wao wana silaha wakutane nazo na kupanga mashambulizi zaidi.Waandishi wa habari ni wakati wa kuonyesha soliderity na kulishikisha jeshi la polisi adabu! Wamiliki vyombo vya habari nanyi wape uhuru waandishi msiwaingilie kwenye kazi zao (msiwalazimishe kuandika habari za hawa wauaji).
 
Msimamo huu uendelee maana tumechoka, wao wana silaha wakutane nazo na kupanga mashambulizi zaidi.Waandishi wa habari ni wakati wa kuonyesha soliderity na kulishikisha jeshi la polisi adabu! Wamiliki vyombo vya habari nanyi wape uhuru waandishi msiwaingilie kwenye kazi zao (msiwalazimishe kuandika habari za hawa wauaji).

yes...... The struggles aluta continua.
 
TBCCM si watakuwa wameenda ? Poleni ndugu zangu wa mbeya najiulizaga sana kwa nini mnaandamwa nyie tu.

Umeona eeh! mara mwakyembe sumu, mwandosya gonjwa lisilojulikana, yule porofesa mwanani wa chuo kikuuvile.... sababu ya kuuliwa haijajulikana wala waliomuuwa hawajapatikana, Ulimboka dr. Kabomolewa korodani sasa Mwandishi Mwangosi kafanywa nyama ya kusangwa!!! Duuuh!

Kweli Mbeya ni Nchi!

 
Last edited by a moderator:
Kuna Mwana mbeya mmoja (sina uhakika lakini pengine anajiita tu) kazi yake ni mc wa maharusi na redio moja ya ngono,music na pombe. wenyewe wanaita redio kiburudisho! tena anasemaga ni wa huko huko Tukuyu! Ukimsikia anavyoshabikia dhulma wanayofanyiwa raia daaah! Huwezi kuamini kama kweli huyu jamaa ni mmbeya kweli au kiraka.
 
Wanatutafuta, sijui kwa sababu tulimpiga mawe baba yao!? sa ivi atauwawa mtu kule afu tunajitenga tunaungana na mkoa mwenzetu wa dada Joyce Banda au sio Gwankaja Gwakilingo, Yaya Toure, masopakyindi Gwangambo Bujibuji et al
Mkuu mimi ninachopinga ni air of impunity katika jeshi la Polisi.
Kumpiga mwandishi , hadharani, tena akiwa amekumbatia kamera yake,kumpiga hadi kufa kwa lugha rahisi ni kitendo cha kishenzi.
Mtanisamehe kwa hasira yangu wakuu, maana si kawaida yangu.
Lakini watu kama hao Polisi wasipochukuliwa hatua za kisheria ujinga huu utaendelea. Na hapo mtu awe CCM,CHADEMA au CUF, hilo halikubaliki.
 
Back
Top Bottom