Waajiriwa wa Tanesco mnajisikiaje?

KIWAVI

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
1,817
699
Yaani napata shida sana nikimuona rafiki yangu wa Tanesco, injia maarufu akiwa aningia bar mabega juu na kusalimia watu kama hamna issue

Hivi huwa mnajisikiaje na hili sakata la umeme...? Je mishahara ikichelewa na nyie mnalalama?
 
Back
Top Bottom