Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

Huwezi zidi uwezo mwanafunzi wa UDSM.... Ukiwa na firts class vyuo vingine ni sawa 2.7 ya Ud.

Serious!!?
hiyo observation uliifanya wapi na ilihusisha wanafunzi wa vyuo vingapi na uliweza vipi kupata majibu sahihi hadi ukafikia hii conclusion?
 
Wakati mwingi GPA sio kipimo sahaihi cha uwezo wako au ufanisi wako. Unaweza kuwa ulikariri madesa au past papers au ulifanya ujanja ujanja (cheating) ukafaulu vizuri lakini haukupata maarifa ya kutosha kichwani ya kukuwezesha kufanya kazi vizuri in real world problems. Umewahi fuatilia jinsi UDSM wanavyofuatilia/kudhibiti udanganyifu katika mitihani? Kuna kitengo cha Quality Assurance pale, ukikamatwa na server (vikaratasi) au unamsaidia au unachungulia kwa mtu hakuna msamaha unafukuzwa chuo, waalimu wengi wapo makini hawapendi kuwabeba wanafunzi ndio maana GPA za pale ni ngumu kupata watu wengi wenye first class au upper second. IFM nadhani pia nao kwa sasa wamejiimarisha sana kwa viwango, usisahau na DIT wapo vizuri kufuatilia viwango.

Cc; ardhi university mbadilike
 
Kuna chuo kimoja kila mwanamfunzi anayemaliza eti ana GPA ya 4.5, umepataje hiyo? UDSM hiyo sahau.. Hapa nilipo mimi HR anaamini from UDSM only ukifatilia kwa undani kuna kitu ambacho kinamfanya awe hivyo. So fatilia utajua tu mkuu.
 
Wakati mwingi GPA sio kipimo sahaihi cha uwezo wako au ufanisi wako. Unaweza kuwa ulikariri madesa au past papers au ulifanya ujanja ujanja (cheating) ukafaulu vizuri lakini haukupata maarifa ya kutosha kichwani ya kukuwezesha kufanya kazi vizuri in real world problems. Umewahi fuatilia jinsi UDSM wanavyofuatilia/kudhibiti udanganyifu katika mitihani? Kuna kitengo cha Quality Assurance pale, ukikamatwa na server (vikaratasi) au unamsaidia au unachungulia kwa mtu hakuna msamaha unafukuzwa chuo, waalimu wengi wapo makini hawapendi kuwabeba wanafunzi ndio maana GPA za pale ni ngumu kupata watu wengi wenye first class au upper second. IFM nadhani pia nao kwa sasa wamejiimarisha sana kwa viwango, usisahau na DIT wapo vizuri kufuatilia viwango.
Kupata first class ifm ni kama upo kwenye mazoezi ya kujiunga na CIA maana huwezi fananisha msako wa IFM kwenye GPA na msako wa CBE kwenge GPA, HUWEZI MAKE COMPARISON IN SUCH MANNER maana hata perfomance ya utendaji ni moja ya nguzo na vigezo vinavyowabeba IFM na UDSM
 
tunaporudigi september kufanya Sap IFM mnatuonagaa vilaazaaaa mnashangaa mtu anapataje Sap kwenye vyuo venu mnatoka na First class upper second kwnu kawaidaa utamuu wa ngoma uingie ndani uicheze njoo IFM uicheze ngoma hayomakampuni utamu wa ngoma nazani wanaujua ndio mana wana prefer ivyo vyuo lakn all in all hapa town ni connection tu ndugu yangu hata uwe umamalizia havard au Cambridge kama huna connection utasotaa tuu kama mwanachuo wa UDOM
 
Kupata first class ifm ni kama upo kwenye mazoezi ya kujiunga na CIA maana huwezi fananisha msako wa IFM kwenye GPA na msako wa CBE kwenge GPA, HUWEZI MAKE COMPARISON IN SUCH MANNER maana hata perfomance ya utendaji ni moja ya nguzo na vigezo vinavyowabeba IFM na UDSM
Na wewe usitishie watu kwa vile huyu jamaa ameweka IFM level ya UD ukajidanganya nafahamu watu wa ovyo wengi to wenye IV na 0 za form 6 lakin wazazi walikua na ada za IFM walidahiliwa na sasa hivi wapo kitaa ni wafanyakazi wanatishia watu ni graduates
 
kama nilikutana na mwanafunzi wa TIA third year Accounting (Tanzania Institute of Accountant) nika muuliza state Three components of statement of financia Position akanitajia Advertisement,salary, and wages acheni IFM wachukuliwee tu jamanii na makampuni hapa Tz.... sammysaideya@gmail.com mwenywewe sema natafuta kazi
 
Ndugu mtoa Mada na wadau wengine, katika upande wa Accounting and Finance naomba mfatilie katika chujio la wahasibu lile la NBAA utagundua ya kwamba katika performance, IFM na UDSM ndo zinabadilishana namba katika nafasi 2 za kwanza karibia kila session afu ndo kina Mzumbe na wengne wanafuata. Baada ya hapo ndo ujiulize kwanini waajiri wengi wanawa'select wao.
 
ndugu mtoa mada ifm kila somo lazima lifanyiwe presentation" kuanzia level ya Certificate mpaka kuendelea na ukitoroka ktk kipindi cha presentation maksi zako za course work zinakatwa na tutorial ya kila somo unatakiwa uhudhurie pia' kitu ambacho vyuo vingine presentation & Tutorial hawavipi kipaumbele" hivyo kupitia presentation na Tutorial mwanafunzi anakua anauwezo wa kujieeleza hata wakati wa interview wanakua wamemjenga vizuri" hebu fanya utafiti ifm hata hesabu unaifanyia presentation kumbuka level ya certificate na kuendelea kweli mwanafunzi ataacha kua mahili na kila mwaka kuna Ifm career kila wanafunzi kutetea faculty yao''
 
Unajielewa sana kally kallys hawajui hustle tunazo kutana nazo sema acha waongee iyo GPA yenyew pale ni tatizo kuitoa jinsi tunavyo angaika daaah inasikitisha kuona watu wana akili ndogo kias iki hawajui tunachokipata pale eti sometymz GPA ndogo ila tunapita ha ha ha ha ha ha ha ha they know our GPA zinavyopatikana dat y...
 
YAANI BADALA YA KUTAFUTA MBINU MBADALA KUTOKA KIMAISHA UNALALAMIKIA UTUMWA???
KUAJIRIWA NI UTUMWA, NILIGUNDUA HILO MIAKA MIWILI ILIYOPITA-NIKAACHA KAZI FASTER.

KWANGU SIANGALII MAKUNYANZI YA SIJUI YUNINI NA KWINGINEKO-NAANGALIA KESHO YANGU BILA KUAJIRIWA WITH CONFIDENCE.
 
ndugu mtoa mada ifm kila somo lazima lifanyiwe presentation" kuanzia level ya Certificate mpaka kuendelea na ukitoroka ktk kipindi cha presentation maksi zako za course work zinakatwa na tutorial ya kila somo unatakiwa uhudhurie pia' kitu ambacho vyuo vingine presentation & Tutorial hawavipi kipaumbele" hivyo kupitia presentation na Tutorial mwanafunzi anakua anauwezo wa kujieeleza hata wakati wa interview wanakua wamemjenga vizuri" hebu fanya utafiti ifm hata hesabu unaifanyia presentation kumbuka level ya certificate na kuendelea kweli mwanafunzi ataacha kua mahili na kila mwaka kuna Ifm career kila wanafunzi kutetea faculty yao''
Sawa lakin hata vyuo vingine umefanya utafiti hawana?
 
Unajielewa sana kally kallys hawajui hustle tunazo kutana nazo sema acha waongee iyo GPA yenyew pale ni tatizo kuitoa jinsi tunavyo angaika daaah inasikitisha kuona watu wana akili ndogo kias iki hawajui tunachokipata pale eti sometymz GPA ndogo ila tunapita ha ha ha ha ha ha ha ha they know our GPA zinavyopatikana dat y...
Mbona IFM mnafanyiana presentations na pia watu wanasoma pale wakiwa wanafanya mziki na wanafauru
 
Back
Top Bottom