Waafrika ndio tulivyo??

What's wrong with us black people....
Kila kitu lazima kifanywe na mzungu. Waafrika ni tabaka la walaji tu, wazungu na watu weupe kila siku wawe wazalishaji na wabunifu, kwanini? Njaa, magonjwa, mauaji ya wenyewe kwa wenyewe, kung'ang'ania madaraka ni sisi tu!! Kwanini?

What is wrong with us, black people?
 
Back
Top Bottom