WAAFRIKA NA SCIENTIFIC DISCOVERIES

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Nimekuwa nikisoma a lot in science , sijawahi kuona mahali mwafrika aliweza kugundua lolote katika dunia ya sayansi. I might be wrong, sijui!!!!
Tufanyeje waafrika?

Angalia attached list
 

Attachments

  • Timeline of a Scientific Revolution.docx
    23.3 KB · Views: 82
Nimekuwa nikisoma a lot in science , sijawahi kuona mahali mwafrika aliweza kugundua lolote katika dunia ya sayansi. I might be wrong, sijui!!!!
Tufanyeje waafrika?

Angalia attached list
Hapana kaka si kweli ata computer unayotumia MTU wa kwanza kuweka programs alikuwa ni mwafrika ambaye ni mnigeria
 
sio kweli. waafrika wamegundua vitu vingi. hila kwa sababu ya racism wazungu wana washut down.

kaangalie movie ya concussion ya will Smith . ni true story ya mwafrica aliyegundua ugonjwa wa concussions. mwafrica huyo anatokea Nigeria
 
Mwafrika aligundua moto, nadhani baada ya hapo mengine yakafuatia...
Stay proud Rastaman!
 
Waafrika Magufuli na ilk yake wamewabana.

Maprofesa wamehamia siasa na biashara, watagundua vitu na kuandaa wengine kugundua lini?
 
Hivi hiyo ndo mnaweza kuionyesha?

Hakuna mengine?
Muanzisha mada (kama umemsoma vizuri) anasema hajawahi kuona popote ambapo mwafrika amegundua katika ulimwengu wa science period. Inawezeka ikawa ni hiki tu, lakini pia wengi hawakijui
 
Mb
Nimekuwa nikisoma a lot in science , sijawahi kuona mahali mwafrika aliweza kugundua lolote katika dunia ya sayansi. I might be wrong, sijui!!!!
Tufanyeje waafrika?

Angalia attached list
mbona huo ugunduzi unaanzia miaka ya 1600?, hivi umeshawahi kulisikia au kulisoma kabila la Dogon la Mali?, Mansa Musa alipokuwa anaenda kuhiji Macca alikuwa na Mzigo wa maana wa dhahabu, nani alimfundisha kuimine na kuichakata hiyo dhahabu?
Hakuna hata nchi moja ya Kiafrica ambayo haitengenezi Gongo, hivi unadhani hiyo process ya kuipata Gongo ni ya mchezo?
Vipi kuhusu mapombe ya kienyeji yaliyojaa kila sehemu?
 
...acheni kujitetea waafrika,sisi hatuna wanasayansi ila tuna waliosoma sayansi.
 
Back
Top Bottom