- Thread starter
- #461
tena na tena na tena na tena ni maneno yanayosemwa na Fid Q katika wimbo aloshirikishwa na Witness unaitwa Zero
Honest Musho alikuwa rafiki yangu tangu enzi zetu za primary hadi secondary. Sijawahi kukutana naye tena