Wa mwisho ndiyo mshindi

Time will tell them for real.

Real madrid tunatangaza kiama msimuu huu kwa barcelona, yani hakuna cha puyo, xavi , iniesta wala messi, safari hii lazima tuwakalishe tena shenzi kabisa
 
Moja ya njia ya kumpata mshindi wa huu mchezo inabidi wambuzi aseme utaisha lini na mshindi atapataje zawadi yake?wambuzi where are you?au umekula ban
 
Moja ya njia ya kumpata mshindi wa huu mchezo inabidi wambuzi aseme utaisha lini na mshindi atapataje zawadi yake?wambuzi where are you?au umekula ban

Ban za kipuuzi JF zinapunguza starehe ya jukwaa ndio maana tumewapoteza watu muhimu kama wambuzi.
 
Back
Top Bottom