mawazo kaumbiwa binadanu na sio mbuzi
Mbuzi kaumbiwa ndafu hawezi kuwa na mawazo yoyote
Kachukuliaje huyu muanzisha thread kusumbua watu mamia kujadili game of year?
:rant:kj kaharibu uchumi wa tz
Please please ...wambuzi mbona hunipi taji langu mshindi c mie
mie niko hapa mpaka nione mwisho wa hii thread
thread hii mwisho wake utakuwa ndo mwanzo wa uzi mwingine, natabiri.
thread hii mwisho wake utakuwa ndo mwanzo wa uzi mwingine, natabiri.
natabiri bingwa ntakuwa ni mie...congrats to mee
MEE ni mlio wa mbuzi awapo malishoni.[/QU mbuzi hawapo malishoni sasa wameenda wapi