Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,273
- 11,773
Mchezo huo moto moto sana.
Sana sana tutakusanya ridhaa za waumini...Mchezo huo moto moto sana.
Waumini hawataki kuchangamana naoSana sana tutakusanya ridhaa za waumini...
Naona hali yako si mbaya.Waumini hawataki kuchangamana nao
Mbaya kama hatufuati kanuni za afya, tuepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, tuvae barakoa na tunawe mikono.Naona hali yako si mbaya.
Mikono yetu ni yakuichunga sana kipindi hiki.Mbaya kama hatufuati kanuni za afya, tuepuke mikusanyiko isiyo ya lazima, tuvae barakoa na tunawe mikono.
Hiki kiti ni kibovuMikono yetu ni yakuichunga sana kipindi hiki.
mshindi ni mimi uzi closedHiki kiti ni kibovu
Closed when?mshindi ni mimi uzi closed
............ ndio kujitoa ufahamu au mbona sijaelewa......
Sijaelewa sababu ya watu kushindwa kuwa wamoja na nia moja ya kulijenga taifa letu bila kujali rangi, dini, jinsi & jinsia, kabila, mahali mtu anakoishi, hali ya kiuchumi ama hadhi yake............ ndio kujitoa ufahamu au mbona sijaelewa
Hadhi yake imethibitisha utendaji na uongozi imara kutuvusha ..Sijaelewa sababu ya watu kushindwa kuwa wamoja na nia moja ya kulijenga taifa letu bila kujali rangi, dini, jinsi & jinsia, kabila, mahali mtu anakoishi, hali ya kiuchumi ama hadhi yake
Part 2 hatujaiangalia deck inakula kandaKutuvisha kutoka korona part 1 mpaka korona part 2.
Kanda bongoman alibamba sana enzi zetuPart 2 hatujaiangalia deck inakula kanda
Zetu nia ziwe njema na njia ya mafanikio itaonekanaKanda bongoman alibamba sana enzi zetu
Zetu zina uwezo wa zaidi wa kupambanaKanda bongoman alibamba sana enzi zetu