bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Zao la kokoa hapa Tanzania hustawi wapi!Wengine ni wadada wazuri lakini wanalewa kama baba zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Zao la kokoa hapa Tanzania hustawi wapi!Wengine ni wadada wazuri lakini wanalewa kama baba zao
Wapi zaidi ya huko milima ya mkoa wa Mbeya utaona cocoa imestawi !!
Imestawi hasa Wilaya ya Kyela.Wapi zaidi ya huko milima ya mkoa wa Mbeya utaona cocoa imestawi !!
Kyela Kuna maajabu !!
Maajabu ni pale 12 Marook anapo tangazwa mshindi alafu mkaendelea na sirediKyela Kuna maajabu !!
Siredi hii inaongoza hapa JF ktk wachangiaji was msamiati !!Maajabu ni pale 12 Marook anapo tangazwa mshindi alafu mkaendelea na siredi
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamiati wa neno "password" kwa Kiswahili unaujua!Siredi hii inaongoza hapa JF ktk wachangiaji was msamiati !!
Unaujua neno la Siri ktk ufunguzi wa mitandao..
Mitandao ni mingi na mtandao una nyara zakeUnaujua neno la Siri ktk ufunguzi wa mitandao..
Pia huwa napokea wageni wengi kutoka ughaibuni..
Ughaibuni?????? Aah ah shekhe mbona hata hapa wapoPia huwa napokea wageni wengi kutoka ughaibuni..
Kisasa ni ya vijana enzi zetu sisi zilikuwa hodariKimya kimya ndio mchezo wa kisasa
Hodari bila uelevu ni bure na pua kubwa kamasi kidogo
Kidogo cha halali ni bora kuliko kikubwa cha haramuHodari bila uelevu ni bure na pua kubwa kamasi kidogo