Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 818
- 1,484
ukifka geita nitafte, ntakukaribisha hadi ndani kwangu sawa mwanachama mwenzangu..
Mwenzangu, halafu!ukifka geita nitafte, ntakukaribisha hadi ndani kwangu sawa mwanachama mwenzangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haifai kumuita mwanamke malaya
Malaya ni mwanaume au mwanamke mwenye tabia za uzinzi.Haifai kumuita mwanamke malaya
Ajari haina kinga
Kinga ni Bora kuliko tibaAjari haina kinga
Ngono zembe hazitakiwi,kuwa mwaminifu kwa mpenz mmoja,michepuko sio dili
Dili za mwendokasi zitaibuka hivi karibuni....Ngono zembe hazitakiwi,kuwa mwaminifu kwa mpenz mmoja,michepuko sio dili