Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
haijafutwa aisee maana nilisikia ni marekebisho tu yatafanyikaFaraja kota alikuwa miss tz kabla haijafutwa
haijafutwa aisee maana nilisikia ni marekebisho tu yatafanyikaFaraja kota alikuwa miss tz kabla haijafutwa
Bidii ilikua zamani siku hizi ili utoke kimaisha inatakiwa ujanja ujanjaYatafanyika maamuzi sahihi endapo kila mtu atafanya kazi kwa bidii
Ujanja kupata... ujanja bila kupata ni sawa na bureBidii ilikua zamani siku hizi ili utoke kimaisha inatakiwa ujanja ujanja
Bure ila sio kila kituUjanja kupata... ujanja bila kupata ni sawa na bure
Kitu cha kwanza nikipata mahela, naenda Paris kutembeaBure ila sio kila kitu
Kitu gani muhimu kukijua?Kutembea ni ishu ila kutoasadaka ndio kila kitu
Kukijua kitu hata kama hukitumii ni vizuri zaidi kuliko kutokukijuaKitu gani muhimu kukijua?
Kutokukijua ni bora maana waweza shawishika ukakitumia baada ya kukijuaKukijua kitu hata kama hukitumii ni vizuri zaidi kuliko kutokukijua
Mungu sio wa kuchezewa, analipa hapahapa dunianiKukijua kitu cha muhimu,kwanza kinabidi kimpendezeshe Mungu
Duniani kuna watu na viatuMungu sio wa kuchezewa, analipa hapahapa duniani
Viatu vingine hutoa harufuDuniani kuna watu na viatu
Harufu ya karafuu IPO biyeeeViatu vingine hutoa harufu
Mbaya wa sura ila mzuri wa rohoViatu vya baniani ni dawa japo yeye mwenyewe ni mbaya.
Roho yangu inauma sana.Mbaya wa sura ila mzuri wa roho
Sana, na hasa umpende asiyekupenda ndo inauma kwelikweli!!Roho yangu inauma sana.
Kweli kweli inauma sana na sio kidogoSana, na hasa umpende asiyekupenda ndo inauma kwelikweli!!
Kidogo kidogo hujaza kibaba aisee goodmorning peopleKweli kweli inauma sana na sio kidogo
People tumechoka na majanga ya kutoongezewa mishaharaKidogo kidogo hujaza kibaba aisee goodmorning people
Mishahara imeshakuwa kilio cha kila MtumishiPeople tumechoka na majanga ya kutoongezewa mishahara