mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,014
- 1,488
Tunalisongesha ila kwa hesabu mingiumeachika ww, sisi tunalisongesha
Tunalisongesha ila kwa hesabu mingiumeachika ww, sisi tunalisongesha
mjini shule, wanaume wamekuja kutongoza na umelegea, kumbe ile jeuri ya kufoka ilikuwa ni hasira za soda?Tunalisongesha huku makinikia yakiwa ndiyo stori ya mjini
mingi mnoo, bila hesabu utarudi kolomijeeTunalisongesha ila kwa hesabu mingi
Soda tumewaachia watoto kama nyie wakubwa tuna nyonya gordons na vodkamjini shule, wanaume wamekuja kutongoza na umelegea, kumbe ile jeuri ya kufoka ilikuwa ni hasira za soda?
vodka bado ni ya kitoto, wanaume tunakunywa Grand na John WalkerSoda tumewaachia watoto kama nyie wakubwa tuna nyonya gordons na vodka
Walker Paul RIPvodka bado ni ya kitoto, wanaume tunakunywa Grand na John Walker
RIP to alcoholWalker Paul RIP
Sana sana napenda kukaa nyumbani siku za weekend
ChinaWeekend zote zimetengenezwa china
Alcohol withdrawal symptoms become a big problem to AlcoholismsRIP to alcohol
Drunk is a past tense of drinkBig problem to Alcoholisms they forget that yesterday they drunk
Drink ujiDrunk is a past tense of drink
Ujiji ni miongoni mwa wilaya katika mkoa miongoni mwa mikoa iliyopo nchiniDrink uji
Nchini kwetu mambo yanakwenda juu chini aiseeUjiji ni miongoni mwa wilaya katika mkoa miongoni mwa mikoa iliyopo nchini
Aisee bado mpo kumbeNchini kwetu mambo yanakwenda juu chini aisee
Kumbe emmyta umekuja, daahh sasa amani imerejea.Aisee bado mpo kumbe
Jamaniii alikua anaogaaKumbe emmyta umekuja, daahh sasa amani imerejea.
Hata futari hujanikonyeza nije nionje umekaa kimya jamani!
Anaoga huku amevaa nguo!Jamaniii alikua anaogaa