Wanaiwaza usiku na mchana lakini haipatikani, na ikipatikana basi haitoshi unahitaji zaidi na zaidi mpaka unaondoka dunianiPesa imefanya watu hawalali wanaiwaza
Nne ni namba ila ni vizuri kushika nafasi ya juu katika mtihani wa taifaVile ambavyo inapaswa kuwa sauari ya nne
Taifa lenyewe hata uwe namba moja bado maisha ni magumuNne ni namba ila ni vizuri kushika nafasi ya juu katika mtihani wa taifa
Magumu maisha yetu sababu ya serikali bado haijaamua hasa kutusaidia wananchi kutupa maisha bora kwa kila mtanzaniaTaifa lenyewe hata uwe namba moja bado maisha ni magumu
Mtanzania mwenyewe ndo anashinda kwenye mitandao ya kijamiiMagumu maisha yetu sababu ya serikali bado haijaamua hasa kutusaidia wananchi kutupa maisha bora kwa kila mtanzania
Kijamii, kisiasa na kiuchumi watanzania tumefeli katika sekta zote kama vile tumerogwa na mchawiMtanzania mwenyewe ndo anashinda kwenye mitandao ya kijamii
Mchawi ana sayansi ya namna ya kipekeeKijamii, kisiasa na kiuchumi watanzania tumefeli katika sekta zote kama vile tumerogwa na mchawi
Kipekee pindi aamuapu kuitumiaMchawi ana sayansi ya namna ya kipekee
Kuitumia kwenyewe ni usiku watu wakiwa wamelalaKipekee pindi aamuapu kuitumia
Wamelala tena bila kusali wala kuombaKuitumia kwenyewe ni usiku watu wakiwa wamelala
Wanasinzia mpaka kwenye nyumba za ibada.Kuomba kwenyewe watu wanaomba huku wanasinzia
ibada njema huanzia nyumbaniWanasinzia mpaka kwenye nyumba za ibada.