HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,911
- 6,591
Watajijua.. Msemo wa ccm
CCM ni chama tawala kipo madarakani kwa mda wa nusu karne !!!Watajijua.. Msemo wa ccm
Karne hii kama hujui kompyuta utakuwa na matatizoCCM ni chama tawala kipo madarakani kwa mda wa nusu karne !!!
Matatizo huwepo katika maisha ya aina zote si lazima ujuwe komyutaKarne hii kama hujui kompyuta utakuwa na matatizo
Kompyuta usiitegemee sana kuliko akili yakoMatatizo huwepo katika maisha ya aina zote si lazima ujuwe komyuta
Yako na yangu akili tukichangia tutaweza vumbua chomboKompyuta usiitegemee sana kuliko akili yako
Kodi yenyewe kubwa kupita mapatoMmiliki usiye na hati miliki na ulipi kodi..
Mapato huambatana na shughuli husikaKodi yenyewe kubwa kupita mapato
Husika na kichwa cha habari hapo juuMapato huambatana na shughuli husika
Juu ya yote alivyo jitetea hakuweza shinda kesiHusika na kichwa cha habari hapo juu
Kesi yenyewe imefutwa.Juu ya yote alivyo jitetea hakuweza shinda kesi
imefutwa katika ramani baada ya vita vya pili vya duniaKesi yenyewe imefutwa.
Dunia ingekuwa tamu kama tungekuwa wanaume pekee.imefutwa katika ramani baada ya vita vya pili vya dunia
Pekee ni upweke utakao sababisha ufuska !!!Dunia ingekuwa tamu kama tungekuwa wanaume pekee.
Ufuska alifanya sana Michael jacksonPekee ni upweke utakao sababisha ufuska !!!