Wa mwisho ndiyo mshindi

Novels zilizotungwa na carson mcCullers nazipenda sana hasa ile iitwayo the heart is a lonely hunter
 
Tucheze game inaitwa Last man standing.

MASHARTI:
1. Hakuna matusi.
2. Unaandika sentens kwa kuanza na neno la mwisho la mchangiaji aliyepita mfano "Mama anapika" kama ww ndiye unafuata unaanza na neno "anapika".Anapika chakula cha wafungwa, mwingine ataanza na neno "wafungwa",wafungwa wengi wana ukimwi,atakayekuwa wa mwisho na kudumu kwa wiki tatu ndiye mshindi.


Nice game.


 
Back
Top Bottom