mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,902
- 2,096
Mapenzi ya mwanamke bubu au kiziwi matamu sana
Sana matamu Kwa sababu wewe T1990ELY ni msiri hutaki kusemwa wala kusikika
Mapenzi ya mwanamke bubu au kiziwi matamu sana
Ulingoni ndiyo raha mkifika pamojaKimaisha wapo walio fika mbali na wapo walio karibia ulingoni,,,,,,
Kimaisha wapo walio fika mbali na wapo walio karibia ulingoni,,,,,,
Kusikika kwa muziki wa mchele mchele ni raha sana kwa wasikilizaji kama siyo watazamajiSana matamu Kwa sababu wewe T1990ELY ni msiri hutaki kusemwa wala kusikika
Ulingoni ndiyo raha mkifika pamoja
Tuko pamoja ni hapa TZ tu maana ustaarabu na uungwana katika Afrika siye tunaongoza.....Pamoja wapi tena Au ndio ule msemo wa kitapeli "Tuko Pamoja"
Kusikika kwa muziki wa mchele mchele ni raha sana kwa wasikilizaji kama siyo watazamaji
mitengo mingi ya kutumbua majipu imegundulika kwa mafisadi wa hii nchi yetu pendwa ya TANZANIAWatazamaji Au mtazamaji? Namjua mmoja tu
Nay wa mitego
Mitego ya serikali haikwepeki muda si muda inanasa wabadhirifu.....Watazamaji Au mtazamaji? Namjua mmoja tu
Nay wa mitego
Wabadhirifu hawana ujanja katika awamu hii ya kutumbuanaMitego ya serikali haikwepeki muda si muda inanasa wabadhirifu.....
Kutumbuana kwenye huu uzi ni mpk Zamiluni Zamiluni haruhusu.Wabadhirifu hawana ujanja katika awamu hii ya kutumbuana
Yale wapi Ruta! Mbona asubuhi yote hii unaanza kuvurunda utaratibu/mtiririko wa kuchangia kwenye hili bandiko!Pumzi ndo mpango mzima kwenye mambo yetu yale
Bandiko hili lazima liendelee hakuna namna niwape poleYale wapi Ruta! Mbona asubuhi yote hii unaanza kuvurunda utaratibu/mtiririko wa kuchangia kwenye hili bandiko!
Bunge limechemsha wamestukia Udikteta na kulaumiana.....ndugu zangu leo na tuliongelee bunge
kulaumiana kua bunge limekua na mikutano ya siri kama wako unyagonBunge limechemsha wamestukia Udikteta na kulaumiana.....
Unyagoni ukisahau bahasha unaliagiza kwa V8 na dereva na wasindikizaji hadi Dodoma.....kulaumiana kua bunge limekua na mikutano ya siri kama wako unyagon
Tanzania ina wafanyakazi hewa wengi.Dodoma mji mkuu Tanzania