Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Kulala mie silalagi peke yangu.....Kabisa leo hamtaki kulala
Kulala mie silalagi peke yangu.....Kabisa leo hamtaki kulala
JF ni mtaa wa magreat thinkersMedia ya ukweli ni JF
Yangu hali ungenijulia ningefurahiKulala mie silalagi peke yangu.....
Yangu macho sisemi chochoteKulala mie silalagi peke yangu.....
Yangu macho sisemi chochote
Chochote ni bora kuliko kukosa kabisaYangu macho sisemi chochote
Chochote huto pata chocoleti wee tuachie hayo macho.....Yangu macho sisemi chochote
Ningefurahi sana kama umeme ungerudiYangu hali ungenijulia ningefurahi
Macho yako yamejaa usingiziChochote huto pata chocoleti wee tuachie hayo macho.....
Usingizi hauji bila kuaganaMacho yako yamejaa usingizi
Kuagana kesho nikirudi kwetuUsingizi hauji bila kuagana
Kwetu kwenu kwao sote tupo juu ya mgongo wa ardhi juu sakafu letu mbingu.....Kuagana kesho nikirudi kwetu
Mbingu ni za MwenyeziMunguKwetu kwenu kwao sote tupo juu ya mgongo wa ardhi juu sakafu letu mbingu.....
Usingizi unao wewe ndugu Mainus , kalaleMacho yako yamejaa usingizi
Kalale chumbani kwako kabla ya Tanesco hawajafanya yao.....Usingizi unao wewe ndugu Mainus , kalale
Wameyamaliza ya ofisini lakini huko mahakamani watajibu.....Yao wameyamaliza
Kulala wanalala vigogo na mabileonea bali walala hoi hujificha......Watajibu kwanini hawataki kulala
Kulala bila net sio kuzuriWatajibu kwanini hawataki kulala