pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,360
- 2,508
Wakurya, ni moja ya jamii inayotumikia Taifa letu kwa jasho na damu kwa kuwaingiza vijana wao kwa wingi katika jeshi. Kijana wao wa kiume anaitwa Mura na wa kike Mukari.
wakurya?