Wa mwisho ndiyo mshindi

Kimaendeleo mtaa wetu unapiga hatua mbili mbele kisha tunajipongeza na kusahau hatua nane nyuma tulizipoteza.
Tulizipoteza zile mbinu za kukabiliana na adui mwishowe tulishindwa vibaya sana, hakika limekuwa ni jambo la kihistoria vizazi vijavyo vitajifunza kwa kosa hili.
 
Hili suala la kuogopa mafisadi na wezi wa rasilimali linarudisha nyuma maendeleo ya Jamii.
 
Jamii nyingi za kitanzania zinategemea kilimo kama chanzo cha mapato yao, lakini hamna mikakati ya kuendeleza na kuboresha kilimo ili kiweze kuleta tija kwa wakulima na Taifa kwa ujumla
 
Ujumla kilimo na sera zake kwa Taifa hili zinachekesha utasikia kilimo cha kufa na kupona kisha kilimo ni uti wa mgongo mara kilimo kwanza.
 
Kwanza kabisa inatakiwa iwepo mikakati maalum na madhubuti ili kutekeleza adhima ya kilimo bora
 
Back
Top Bottom