T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,197
- 28,397
Huo ni uongo uliotukukaKupenda alishiliki kwenye mbiyo za mwenge mwaka huo
Huo ni uongo uliotukukaKupenda alishiliki kwenye mbiyo za mwenge mwaka huo
Wewe chibalangunamchezo hujambo mkuuMwingine nae juzi kaniambia Kama ulivonambia wewe
Tamaa ni mbaya ilimponza mzee huyuHuo ni mwanzo wa mapambano, usikate tamaa
Uliotukuka sana ni nguzo ya maendeleoHuo ni uongo uliotukuka
Haikinai kabisa hasa ukute umepikwa vizuriIliyopikwa huwa haikinai
vizuri kuwa najilamba nikivionaHaikinai kabisa hasa ukute umepikwa vizuri
Vizuri tucheze mchezo huu kwa mpangilio na mtiririko mzuri badi tupate mshindiHaikinai kabisa hasa ukute umepikwa vizuri
Mkuu T 1990 Ely sijambo vipi uko Poa?Wewe chibalangunamchezo hujambo mkuu
Poa sana tu mkuuMkuu T 1990 Ely sijambo vipi uko Poa?
Hapo nilienda kuchukua mahitaji tu, ila kwasasa nipo Pande za Mbezi beach mkuu.Poa sana tu mkuu
Pande zipi hapo?
Mkuu karibu sana kwetuHapo nilienda kuchukua mahitaji tu, ila kwasasa nipo Pande za Mbezi beach mkuu.
Kwetu mimi ni hapa mbezi mkuu, nikalibie kwenu wapi?Mkuu karibu sana kwetu
wapi umemuona Belle nineKwetu mimi ni hapa mbezi mkuu, nikalibie kwenu wapi?
Nine sijamwona mda Nadhani yuko busy anapambana na hali yake.wapi umemuona Belle nine
Yake maneno ndo yalimponzaNine sijamwona mda Nadhani yuko busy anapambana na hali yake.
Yalimponza pale aliposema ukweliYake maneno ndo yalimponza
Ukweli ni kwamba ili uwe mchochezi lazima useme ukweli na baada ya hapo itabidi uchochezi wako ukathibitishwe kwa vipimo vya mkojoYalimponza pale aliposema ukweli