Wa kaka wa JF...

Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
831
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.
akaja huyu akasema....
KAULIZE kwenye FORUM ya JAMII FORUM,huko kuna midume imesoma na hawana hata time
ya kutongoza wao siasa tu na maswala ya maendeleo,dada yangu alimpata mmoja na
hivi sasa anapeta london
Mwingine akajibu ivi...
WANAUME WA JAMII FORUM HAWANA HATA TIME YA KUBADILISHA CHUPI WALA YA
KUCHAMBA....
.
huyu ndo akaniacha hoi...
Jamii Forum ni VIBAMIA tu vimejazana, na mambo ya alamba sio yao
inanhuuu????????
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
 
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...

akaja huyu akasema....

Mwingine akajibu ivi...

huyu ndo akaniacha hoi...

:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
Source?
 
Hii ishaletwa hapa na mtu a couple of days ago...

Hapa tuna recycle tu....

mada iliyoletwa hapa ni hiyo ya kwanza hapo juu inayosema ''Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma ........'' hii ndo ililetwa hapa hizi zingine hazijafika huku

hii inaashiria kwamba jf ina watu makini ila kwa siku za hivi karibuni kuna watu wanaanza kuchafua hewa.

kama huyu clearing
 
JF kila kitu utakipata kama uko kikazi zaid au mdaku, ndo mana wanalijui hilo, hiyo blog ya U-TURN ni ya maduu, hata mode wake nahisi ni member humu ndani..
 
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...

akaja huyu akasema....

Mwingine akajibu ivi...

huyu ndo akaniacha hoi...

:violin:kazi kwelikweli....hahahaha

Mkuu uminichekesha sana........
 
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...

akaja huyu akasema....

Mwingine akajibu ivi...

huyu ndo akaniacha hoi...

:violin:kazi kwelikweli....hahahaha

Huyo mdada anayesema wakaka wa JF wana vibamia ametiana na wangapi kati yao!? Au ndio maneno ya mkosaji?
 
:confused2:anatafuta watu wahamie kule au kuna ukweli fulani ndani yake?Haya wenye vibamia wacha tubaki huku tuwasubirie wanaotaka kuja London-ahaaaaaaaaaaaaha
 
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...

akaja huyu akasema....

Mwingine akajibu ivi...

huyu ndo akaniacha hoi...

:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
labda kaka zetu mmekuwa wagumu sana wadada za watu wamekuja hapo kama watano hivi hakuna hata mmoja aliyepata hata b.f...nyinyi saasa tu na kampeni...lainikeni basi japo kidogo.
 
labda kaka zetu mmekuwa wagumu sana wadada za watu wamekuja hapo kama watano hivi hakuna hata mmoja aliyepata hata b.f...nyinyi saasa tu na kampeni...lainikeni basi japo kidogo.
Sio wagumu wala nini, hao wote waliokuja hapa hawapo serious kabisa, na sio sisi eti wagumu!
 
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......

Zimeanza ivi...

akaja huyu akasema....

Mwingine akajibu ivi...

huyu ndo akaniacha hoi...

:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
asante kwa taarifa kawambie kuwa huku ndivyo kulivyo, kwa kuwa hatuko kupakana hina hapa,
 
Back
Top Bottom