Vyuo vya uuguzi

Ben40

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
207
37
Wana jf mda wa kuanza ku2ma maombi vyuo vya uuguzi umefika tujuzane vyuo vp ni vzri kwa ngasi ya cheti?nawasilishâ
 
Ndanda ndugu yangu,kwani sio mbali na gharama zake ni nafuu mno.ni ndanda school of nursing.
 
Ni zipi qualification za kuchukua wanafunzi(especially matokeo ya form IV)?

kwa ngazi ya cheti lowest qualification ni 28 points,awe na ufaulu wa alama D in chemistry and biology in addition awe amefaulu english na maths kwa alama D
 
2tajiane vyuo wana jf huu ndio mda wa kuanza ku2ma.
 
Nendeni bulongwa institute of health science...ni chuo kinachotoa elimu nzuri pia kina maadili mazuri ya kidini..wanatoa cerfificate ya nursing and diploma ya dential therapist
 
Chuo cha uuguzi Peramiho wanatoa certificate na diploma at least D ya masomo ya physics, chemistry, biology na Mathematics. Ada cheap form elfu 10,000/=
 
Chuo cha uuguzi Peramiho wanatoa certificate na diploma at least D ya masomo ya physics, chemistry, biology na Mathematics. Ada cheap form elfu 10,000/=

ajaribu bt asitegemee sana hapo napafahamu nafasi zao huwa ni chache sana...
 
Ok thanks peramiho fomu znapatikana wapi na S.L.P ni ngapi?
 
Prioress: Sr. Rosann Ocken,
OSB
Missionary Benedictine
Sisters
St. Scholastica Priory
P.O. Box 18
Peramiho via Songea,
TANZANIA, EAST AFRICA
Office and Fax:
255-25-260-2594
E-Mail:
rosann@peramiho.org


pia nami natafuta chuo cha afya ngaz y diploma.kama ukipata 2ambizane namba yng y cm ni 0757693672
 
Pia mimi ngazi ya cheti tujuzane mkipata namba 0768021661
 
Natafuta chuo kinacho toa course za afya kama clinical officer,health officer,dental therapy,health record keepings,medical officer,both of either certificate and its diploma 0712499805
 
Back
Top Bottom