House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
Uwezo ni laki 2 na malipo kuanzia miezi mitatu... Nimeweka urefu wa kamba yangu. Nkuhungu hapana
 
Nyumba ya kupanga inahitajika.
Iwe maeneo karibu na chuo cha UDOM,vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,public toilet ya ndani na jiko.
Na iwe na imezungushiwa ukuta na kuwa na nafasi ndani yakuhifadhi Gari.
Pia umeme, Maji,usalama na majiran ziwepo.
 
Ile ya laki mbili na nusu imeshatoka..maeneo ya karibu na UDOM ni makuru zipo lakini bei yake ni kuanzia laki tatu ukiwa tayari nijulishe 0714140579 ukazione
 
Nataka master na sebure maeneo yoyote ila kuwe mjini bajet yang 90k iwe Full fensi kodi yangu kuanzia miezi 3 isiwe ina wapangaji Wengi Sana kiongozi
 
Back
Top Bottom