Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
254
359
Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi.

Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita Barabara za watu wengi kama city center ilikuweza kupunguza ajari za ghafla za hapa na pale. Hii pia ni kwa magari ya watu binafsi, boda boda na bajaji kupunguza mwendo kwenye Barabara za watu wengi ili kuepuka kugonga watu, haswa wakati wanapita kwenye kivuko pundamilia au kusababisha Ajali.
 
mjini hapakufai
hama haraka
 
Hiyo speed ya 60km/h bado ni kubwa kwa gari kama mwendokasi, aliwezi simama kwa wepesi kutokana na uzito wake (momentum).
Dereva kama dereva anatakiwa kujua mwendo ama speed ya kila eneo, mahali penye mkusanyiko speed haitakiwi kuzidi 30km/h. Ila kwa sasa madereva wengi wa magari na bodaboda wanatofautiana jinsi ya kukamata usukani tu;ila uendeshaji na kufuata sheria wanafanana.
 
Back
Top Bottom