Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 327
- 419
Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi.
Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita Barabara za watu wengi kama city center ilikuweza kupunguza ajari za ghafla za hapa na pale. Hii pia ni kwa magari ya watu binafsi, boda boda na bajaji kupunguza mwendo kwenye Barabara za watu wengi ili kuepuka kugonga watu, haswa wakati wanapita kwenye kivuko pundamilia au kusababisha Ajali.