Elections 2010 Vyombo vya Habari na kampeni za Uchaguzi

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Naomba nijuzwe tangu Kampani za Mwaka huu zizunduliwe Agosti 21 mbona sijasikia kampeni za vyama vifuatavyo:

1. NCCR-MAGEUZI
2. UDP
3. TLP
4. SAU

Je! Hivi vyama ni kwamba havijazindua rasmi kampeni zao ama inakuwaje? Maana ni vyama vitatu tu ndio vinavyozungumziwa kwenye tasnia ya habari (CHADEMA,CCM na CUF)


Naomba kuwakilisha
 
Hivyo vyama vingine ni mamluki wa ccm wanasubiri kikwete awape hela wafanye kampeni hawana hata mia
 
Back
Top Bottom