Vyombo vya Habari na Habari ya Prof. Lipumba kujiuzulu Uenyekiti CUF

Najiuliza sana Gazeti la Uhuru lilipataje habari hizi Mapema sana

Ndani ya UKAWA kuna vibaraka wengi mno wa ccm wakiwemo viongozi wakubwa. Sasa baada ya ujio wa Eddo kwa kishindo wanahaha kuinusuru ccm maana lengo lao sio kuiangusha ccm bali ni kuwahadaa watz na kula ruzuku.
 
Ije mvua, ije gharika CCM lazima watoke hata kwa uchawi watatoka tu mwaka huuu.
Baba, Mama, Mimi tumetawaliwa na hawa watu afu na wanangu.... hapana
 
Watu wanasema ukiweka ccm na tofali watu wanchagua tofali. Kazi itaisha mapema kabla ya saa nane zitakuwa zimetosha tayari
 
ccm Kwa kujua kuwa wana hali ngumu sasa wameanza rafu mapema ,ukawa kuweni makini kuna taarifa kuwa kuna wanaojiita makada njaa wanachukua taarifa kwenye mashule ya wapiga kura huko tanga
 
usha julikana na adhabu yako ilikuwa kifo weye huku pemba watuandamanisha ndugu zetu kuuwawa kumbe ccm.
 
Back
Top Bottom