Acha Tu endelea na mishe misheHabari wakuu,nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
Wasiliana na mpokeaji huenda account yake imefungiwa kweliHabari wakuu,nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
Wanajitahidi sana especially feauture yao ya kudeposit kwenye mastercard tofaut na Airtel wanachukua money direct from Wallet ambayo ni hatari sanaYah airtel inasumbuaga sana Ngoja nijaribu Voda mastercard nao
Thanks nimewatumia email tyr ni shipping agency i hope watanipa feedbackWasiliana na mpokeaji huenda account yake imefungiwa kweli
Akupe other means ya kumtumia pesa
Ukiendelea kulazimisha hapo pesa itakatwa halafu haitafika kwa muhusika na kwako haitarudi
Utaanza kukimbizana nao sasa ili upate pesa yako