Vyandarua venye dawa

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
NIUE TARATIBU, hivi kweli hawa WAAMERIKA wana huruma gani na sisi hadi watusaidie ktk kuutokomeza ugonjwa wa maralia..? kama kweli wan huruma mbona basi hawaaonei huruma WAPALESTINA ambao wanataka kutambuliwa na UN badala yake wameisha sema mapema hatapinga wazo hilo litakapofikishwa ktk baraza la UN. hivi wadau niomba mnitoe wasiwasi , hivi kweli chandarua kimewekwa dawa(SUMU) wewe unalala ndani yake ILI UPUMUE HEWA NI LAZIMA IPITE KTK VITUNDU VIDOGODOGO NDIPO UIPATE, je usalama wa Watanganyika sisi uko kweli.? kama watu hawa weanaweka sumu hata ktk maziwa ya watoto wadogo tu, watashindwa nini kutuwekea halaiki ya watanganyika ili kesho vijukuu vyao virudi kututawala baada ya kuathirika na misaadfa yao yenye kuona mbali. wadau naomba tujadili hili je kuna usalama ktk msaada huo ama laaa........?
 
Ni aibu kubwa sana baada ya miaka 50 ya uhuru kwenye nchi yenye dhahabu, tanzanite, maliasili kibao n.k kutegemea vyandarua kutoka Marekani. Hivi hata chandarua tu hatuwezi kumudu kuwanunulia watu wetu?
 
Back
Top Bottom