Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

Susan naona umegoma kuja kutoa maelezo kuwa nia yenu hasa ni ipi?
Tafadhali kwa mara nyingine tunaomba response yako!
I dont know if you remember me but i am sure if you take your time you will then be able to!
Afterall we share something in common and that may be a hint!
Njoo hapa utueleze maana naona mnaendelea kuyafungua haya matawi hadi Manchester kwa ma red devils!
Tuelezane maybe una nia nzuri so we can support each other!
 
Mods na Mkulu Invisible,

Heshima mbele wakuu, unajua kuna tunao lala macho kuweka credibility na heshima ya hii JF mbele, sasa mnaporuhusu lugha za chooni kama hizi za huyu Mkora, mnatuambia nini?

Kwanza asimamishwe na maneno haya yafutwe, halafu I have a feeling huyu mtu alishwahi tena kutumia maneno kama haya akitumia jina lingine,

I mean haiwezi ku-get lower than this!

MKuu Sasa kama unalala macho kwa ajili ya baraza kazi saa ngapi ?au ndio nyonyo (Income support) hilo linalokupa jeuri ukifuatilia atakuambia ana PHD labda ya kusaini Job center
 
MKuu Sasa kama unalala macho kwa ajili ya baraza kazi saa ngapi ?au ndio nyonyo (Income support) hilo linalokupa jeuri ukifuatilia atakuambia ana PHD labda ya kusaini Job center

Mkuu naona tuende na hoja kwa hoja badala ya ku get personal!
Inawezekana unamjua mkuu lakini na sisi tuna utaratibu wa kuheshimiana hapa jf kiubinadamu na kimijadala!
 
CCM Mysore yasimamia ukweli.....

Mohamed Shein (HUYU NI MTOTO WA dR.mOHAMED sHEIN MAKAMU WA RAIS TZ)akitoa machache kwa wanachama
wa CCM Mysore.
Mjumbe wa CCM Taifa, Ndg .Nape M. Nnauye akiwahutubia vijana wa Kitanzania waishio Mysore-India katika siku ya kusheherekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tar 26/4/2008,Nape alisisitiza umuhimu wa Vijana wasomi kuwa pamoja na chama chao na kuleta mafanikio kwa nchi yao,baadhi na niliyanukuu.."VIJANA TUAMKE NA KUJADILI JUU YA TANZANIA TUNAYOITAKA.CCM BADO NI CHAMA IMARA LICHA YA MISUKOSUKO INAYOKIKUMBA SASA KUTOKANA NA BAADHI YA MAKADA KUKUMBWA NA KASHFA MBALIMBALI KAMA ZA UFISADI..MUUNGANO NI MOJA YA MATUNDA AMBAYO CCM INAJIVUNIA SANA LEO KWANI NI SERA YAKE NA NDIO WAASISI.

Nimeikuta mahali,bahati mbaya picha zimekataa kidogo,ntazitundika.But kikubwa tujadili sasa mwenendo wa haya matawi kuona dhumuni lake maana tulishawahi sema hapa 'time will tell'...kikubwa hapa hasa hayo maneno au husia wa kijana Nape kwa wasomi na vijana...lakini pia angalieni orodha ya wanaounda tawi hili;
.Nape Moses Nnauye
.Mohmed Ally Shein..mtoto wa VIP TZ
.Edward Nyange-mtoto wa Mmama Kilango Malecela
.Kuna mtoto wa Jaji Makeme
.Mtoto wa mkuu wa chuo kilichokuwa cha chma Kivukoni..Dr.Magoti nk

Twende sasaa--------------------------------------------------------------------------------
 
Tatizo mojawapo ambalo nalisema kila siku ni kwamba Siasa zinarudisha Tanzania nyuma. Kwa mfano Serikali ingeweza kutumia balozi na kuwa hamasisha Watanzania wa nje kusaidia nchi kama kwenye elimu na afya lakini serikali hiyohiyo ambayo Wafanyakazi wengi ni wa chama kimoja wanaona chama ni muhimu kuliko nchi. Kama balozi wangeanzisha funds na ziwe na plan zinazoeleweka na uwazi watanzania wengi wangechangia kwa vitu kama madawati au vitanda vya hosipitali lakini balozi zimekaa huku kazi kupiga porojo na siasa halafu tunauliza ni kwanini nchi yetu masikini!!. Jibu ni kwamba siasa ni maneno ni kuna wakati unafikia inabidi serikali isaidie nchi iende mbele.
 
CCM Mysore yasimamia ukweli.....

Mohamed Shein (HUYU NI MTOTO WA dR.mOHAMED sHEIN MAKAMU WA RAIS TZ)akitoa machache kwa wanachama
wa CCM Mysore.
Mjumbe wa CCM Taifa, Ndg .Nape M. Nnauye akiwahutubia vijana wa Kitanzania waishio Mysore-India katika siku ya kusheherekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tar 26/4/2008,Nape alisisitiza umuhimu wa Vijana wasomi kuwa pamoja na chama chao na kuleta mafanikio kwa nchi yao,baadhi na niliyanukuu.."VIJANA TUAMKE NA KUJADILI JUU YA TANZANIA TUNAYOITAKA.CCM BADO NI CHAMA IMARA LICHA YA MISUKOSUKO INAYOKIKUMBA SASA KUTOKANA NA BAADHI YA MAKADA KUKUMBWA NA KASHFA MBALIMBALI KAMA ZA UFISADI..MUUNGANO NI MOJA YA MATUNDA AMBAYO CCM INAJIVUNIA SANA LEO KWANI NI SERA YAKE NA NDIO WAASISI.

Nimeikuta mahali,bahati mbaya picha zimekataa kidogo,ntazitundika.But kikubwa tujadili sasa mwenendo wa haya matawi kuona dhumuni lake maana tulishawahi sema hapa 'time will tell'...kikubwa hapa hasa hayo maneno au husia wa kijana Nape kwa wasomi na vijana...lakini pia angalieni orodha ya wanaounda tawi hili;
.Nape Moses Nnauye
.Mohmed Ally Shein..mtoto wa VIP TZ
.Edward Nyange-mtoto wa Mmama Kilango Malecela
.Kuna mtoto wa Jaji Makeme
.Mtoto wa mkuu wa chuo kilichokuwa cha chma Kivukoni..Dr.Magoti nk
Twende sasaa--------------------------------------------------------------------------------
Pesa wanazo nyingi tu za kutetea ufisadi kwa girini la kufungua vyama!
Mbona hatujawahi kusikia wakishinikiza uwajibikaji na mabadiliko ya kweli humo ndani ya Chama?
Ama mbona hawakufungua hayo matawi kabla ya ufisadi?
Ama ni mimate ya tamaa za mifwedha ya wizi ndo inafanya kazi ya kutaka kuona ni kwa namna gani wata zikinga?
Nina wasiwasi sana na huu mtandao na utaratibu wa kuanzisha matawi huku ughaibuni!
I will only support kama kweli nia ni kuleta mabadiliko!
 
i Think Division Is Wot's Gonna Happen Here..watanzania Tukikutana Huwa Tuna Umoja Sana Na Tukiongea Siasa Tunajadili Na Kuwa Wazi Kwa Matatizo Ya Nyumbani Bila Kujali Nani Ni Nani Nyumbani..sasa Limekuja Hili Group Ambalo Kama Ni Viziwi..propaganda Kibao..they End Up Making A Fool Of Themselves And The Tanzanian Community As A Whole..untill They Give Us Legitimate Reasons To Why They Are Doing This..i Will Personally Keep On Critising (keep In Mind Mimi Sio Cuf, Sio Chadema Sio Nccr..mzalendo Tuu)..im Jus Shocked At How Some Of Our Brothers And Sisters (ambao Wamepata Bahati Ya Kuwa Nje Kujionea Systems Of Accountability Na Kuona Tanzania From A Different Angle) But They Are Still So Ignorant Of The Situation Back Home Utafikiri Hawana Ndugu Vijijini Wanaotaabika..inauma Sana!

Je Kwa Kufungua Haya Matawi Wanatuambia Tulio Huku Kwamba Wamefurahishwa Na Yanayotokea Nyumbani Chini Ya Uongozi Wa Ccm??
Hii Ni Njia Wanatumia Watu Kujenga Umaarufu Ili Wakija Bongo Waweze Kuingia Kwenye Siasa/serikalini Kirahisi
 
hii Ni Njia Wanatumia Watu Kujenga Umaarufu Ili Wakija Bongo Waweze Kuingia Kwenye Siasa/serikalini Kirahisi
Bila Kusahau Pia Hii Ni Njia Wanayotumia Mabalozi Kuonesha Wanachapa Kazi. Kumbe Wapi Ni Upuuzi Mtupu
 
Kwa maisha ya wengi wangapi una data zozote kwani mshahara ni siri ya mtu nadhani

Huwezi kuamini kwamba Mishahara yote ya wafanyakazi sio siri kama unavyodhani. Kuanzia Waziri mkuu hadi mfanyakazi wa nyumbani mshahara wake unajulikana, hata yule unayemuajiri kwa part time. SIRI KALI zipo Tanzania tu kwa MAFISADI. Welcome to the world na endelea kudhani.

Heshima ya ughaibuni ni kulipa kodi na walipaji wakubwa wa kodi wanajulikana.
 
Si vema kuanzisha matawi ya kisiasa nje ya nchi.huko watanzania wanapaswa kuwa wamoja sanasana waanzishe umoja wa watanzania wa eneo flani na wewe wanasaidiana kama watanzania.
 
Nionavyo mimi, suala si kuanzisha matawi ughaibuni, suala ni akina nani wanauwezo wa kufika ughaibuni? angalieni hiyo orodha hapo juu, kwa mtu mwenye akili yake inaashiria nini kama si sawa na yale yale ya BoT ambapo mafisadi/wakubwa wamejaza watoto wao ili waendelee kulinda mirija yao. Hala hala mti na macho.

Jamani yale mapinduzi yaliyofanyika urusi miaka hiyo hatuwezi kuyajaribu? nina maana wanyonge waji-organize kuchukua nchi yao iliyotekwa na hao 'the elite' ambao kama mnavyoona wanaendelea kuandaa watoto wao waendeleze ufisadi. Au njia gani mbadala tunaweza kuitumia angalau basi wanaondaliwa kuwa viongozi wa kesho na watoto wa wakulima wawemo? Haya sasa...........
 
Walalahoi wengi sana wako ulaya kaka,kwa kuwa hakuna kampeni huko na hawapigi kura hawana sababu ya kuwa na vyama vya siasa.
 
Nasikia tetesi kuwa wanataka kufungua tawi la CCM nchini Marekani. Je wana JF kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa wanataka kufungua mtambo mwingine wa kuzalisha VIMAFISADI nchini Marekani. Can this be true ?
 
Wapi Marekani wanakotaka kufungua hilo tawi? Kama ni kweli mimi sioni ubaya wowote....
 
Wapi Marekani wanakotaka kufungua hilo tawi? Kama ni kweli mimi sioni ubaya wowote....

Wafungue wasifungue kujiunga na CCM ni hiari ya mtu, ila sioni mtu mwenye akili timamu akafanya hivyo ila kwa watz "EXpect the unexpected" ila sidhani kama hilo ni tishio.
 
Nasikia tetesi kuwa wanataka kufungua tawi la CCM nchini Marekani. Je wana JF kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa wanataka kufungua mtambo mwingine wa kuzalisha VIMAFISADI nchini Marekani. Can this be true ?

Mag3,

sio siri na kama utaangalia nimeanzisha thread jana inayozungumzia suala hili, sio siri na matawi yanaanza kufunguliwa weekend hii.Link hii hapa may be moderators waziunganishe tu hizi threads.
 
Hawa si wale watoto wa mafisadi Balaahili type nk. kwani si unajua wao husoma majuu tu na ni kati ya watu ambao husema Tanzania hakuna shida ni kama peponi ila watanzania ni wavivu na wajinga. Ukiuliza wazazi wake wanalima heka ngapi utasikia no my father is a politician. Sasa akiulizwa je siasa Tanzania ni business mbona kila mwanasiasa mtoto wake yuko hapa Marekani au nje ya nchi kusoma. Wanapatwa na kigugumizi. Zaidi wakiulizwa je wazazi wenu wametoa wapi pesa ya kwenda kuwasomesha nyinyi. wanadai salary na miradi. Je kwa nini Tanzania ni masikini na baba zenu wanafedha wasiwasaidie watoto wa kitanzania ambao hawana fedha wasome? Hapo ni pabaya zaidi. Mimi nasema siku yaja na haiko mbali upepo wa maamuzi utabadilika kabisa hapa Tanzania na tutaishi kama mwalimu alivyo-anticipate. Tuelimike kwanza tujue vyetu na nani anakula vyetu tumfanye hamna. Au mnasemaje wanaJF
 
Back
Top Bottom