Vyakula vinavyoongeza shahawa/manii kwa mwanaume au mwanamke

Ni karanga, korosho, mboga za majani kwa ujumla, mayai hasa ya kwale, maziwa mtindi, vyakula aina ya samaki n.k, wengine wataendelea.
 
komaa na kula ngongo "nyanya chungu-tena zile za kiafrika (zile chunguuuu) na sio zile tamu tamu. kwa muda wa wiki 3 mfurulizo , utakuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda wa mambo makubwa uliyotendewa na ngogo.
Pia waweza jaribu super mkuyati at your own risk.
 
Za kazi gani?, Umeshauriwa na nani?, kwani kupata mtoto ni razima hayo madude yawe mengi?. Au mwenzio ananenepa kwa sababu ya hayo madude mengi
 
Kweli JF ni shamba kuubwa. Hayo makitu umepata wapi soko lake? Au mwenzetu umekaukiwa unatema tu tone tone tuu?? Hayo makitu ni kidude kimoja tu kinawahi yai na mtoi analia akizaliwa. Siyo chupa ya bia ijae mpaka mwenio akisimama yanashuka naye. Huo ni utoto tu
 
Ni karanga, korosho, mboga za majani kwa ujumla, mayai hasa ya kwale, maziwa mtindi, vyakula aina ya samaki n.k, wengine wataendelea.

uko sahihi mkuu ila kwa ufupi tuh ale vyakula vingi ambavyo ni rich in proteins kwasababu sperm cells ni highly proteins in nature especially essential proteins ambazo mwili hauwezi zitengenezea hivyo inaitaji toka misosi ya nje......
 
Back
Top Bottom