Vurugu za Ubungo Plaza kwenye Magazeti Leo

Ukiangalia vizuri kwenye utosi kuna kama alamu ya damu.Sasa sijui ni rangi ya picha tu au ni damu kweli,sina uhakika.
 
Hata mimi nimeiona hiyo mkuu!! Kama damu vile kichwani..
hii ni kazi ya ccm
[h=2]Hii picha kila nikiitazama napata woga, hawa watu walichukuliwa hatua gani?[/h]
attachment.php

 
Heading haileti maana halisi, ni kama vile inakwepesha kitu fulani.

Yaani Kibanda anakubali kupoza hii habari kiasi hichi!

Vv
 
Kuna viongozi wakubwa wanapiga simu kwa IGP waki taka huyu mhUni Makonda aachiwe huru ni aibu kama IGP utamfanya hilo kosa kwa sababu za Wasaka Urais wa CCM .....we are watching.......

mkuu makonda amekamatwa?
 
Ukiangalia vizuri kwenye utosi kuna kama alamu ya damu.Sasa sijui ni rangi ya picha tu au ni damu kweli,sina uhakika.

chupa ya makonda hiyo imefanya kazi barabara, yawezekana alitaka kuua kabisa
what a shame
 
Nimesikitishwa sana na hiki kitendo cha kumshambulia Mzee Warioba. Lakini bado najiuliza, iweje the former PM awepo hapo ukumbini bila ulinzi? It doesn't make sense to me.
 
Swal, Je, Makonda amekamatwa kwa tuhuma hii ya kumshambulia Makamu wa Rais Na Waziri Mkuu Mstaafu? au bado anakula raha mtaani?
 
wakupigwa huyo babu warioba, zee zima baada ya kutulia linatafuta kiki kwa kuanzisha migogoro isiyo na tija. wamemkosea sana ingebidi wamtegue hata kiuno ili akome kutuharibia nchi yetu. katiba katiba alikuwa mwenyekiti wa tume, tume imeshavunjwa yeye alitakiwa atulie bila kuegemea upande wowote pimbi hilo bwabwa.
 
Mnajua tunaitaji wahuni aka dkteta kuongoza nchii

Huyubwana watamwachia waziwazi ila iposiku
Aisee anamkunjanwariooooobaaaa mshenzikabisa mpuuuuimbavuuuuuu hanaa adabu

Nilivyo soma uhandishi wako, ikabidi niangalie alie post, nikakuta ni wewe PDIDY, gafla nikajisikia kukusalimia hujambo mtumishi?
 
hii ni kazi ya ccm
Hii picha kila nikiitazama napata woga, hawa watu walichukuliwa hatua gani?
attachment.php



Dah! Tanzania bado ni nchi masikini sana ooops sio masikini wanaendelea kunyonywa na viongozi wao pesa wanazolipa kodi badala ya kufanya kazi za wananchi zinawafanya viongozi kama JK kuvinjari ulimwengu mzima. Angalia miundo mbinu ilivyo mibovu .... .. ...this is not normal kuwa na pavement ambazo ni udongo tu aibu! au mchanga Then hawa kina Kikwete ndio walisomeshwa na kodi zetu na bado wanaendelea kutufilisi na kodi zetu bila kuinua kiwango cha maendeleo kwa wananchi walipa kodi.

Picture: Uncivilised characters, bado wapo wapo tu kama enzi za kina Mangungo.
 
Back
Top Bottom