Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Jamani mliopo mbgl tupeni habari vita vinaendeleaje?

Jamani hekima ya kimungu itawale mahali hapo,mbona ni vitu vidogo sana ni ishu ya kumuonya mtoto sasa kuchoma mpaka makanisa inatokea wapi. Udini unatupeleka pabaya chini ya dhaifu
 
Y kila siku qur an??mara muichome moto,mara muwatume watoto wenu waiokojolee,mara katuni za kukashifu...!!y??y always waislam na qur an yao?mbona hatuskii waislam kumkashifu jesus,kuchoma bible yenu n.k,,kwaiyo mnatufanyia sisi visa,tukichukia mwakimbilia polisi??
Hatupendi ila choko choko mwazianza nyie...

Mkuu, sijui kama utaelewa. Ni hivi, kama umemsikiliza Kamanda Kova, dogo aliyekojolea Qoran alikuwa challenged na rafikie kukojolea Qoran na aka take up the challenge. Sasa je unataka kutuaminisha kwamba Wakristo ndio walioandaa mazingira ambapo yule kijana wa Kiislamu atakutana na, na kisha kum challenge yule wa Kikristo ili yule wa Kikristo a respond kwa namna aliyo respond? Mkuu, fikiri tu kidogo na utagundua kwamba hivyo unavyodhani si kweli.
 
Haya yote ni matokeo ya watu kukosa kazi muda wote wanashinda na kulala misikitini na kuvizia wapi pana msiba,hitma,arobaini ili wakapate msosi.
 
Hii habari ni ishara ya matatizo makubwa zaidi. Hivi majuzi tumesikia kule Pakistan ambapo binti wa Kikritu nusura auwawe kwa sababu ilidaiwa kuwa alikufuru Quran kwa kuchana karatasi zake. Watu walikuja juu sana. Kumbe baadaye ikagundulika ni mzee mmoja wa Kiislamu ndiye aliyemset up yule mtoto ambaye ilidaiwa kuwa ana upungufu wa kiakili wa aina fulani. Baadaye ni yule Sheikh ndiye aliyekamatwa kwani ndiye aliyechana kurasa za Qurani na kuweka kwenye mfuko wa yule binti.

Sasa suala hili lina kila aina ya haja ya hekima. Unaposema kitabu hiki ni "kitakatifu" je mtoto anajua maana ya utakatifu? Je anajua hisia ambazo zinaendana na vitu hivi? Ni sawasawa na Wakatoliki wanaoamini komunyo ni kitu cha kiungu. Je mtoto wa dini nyingine anaweza kuelewa hili? Watoto wamekaa wanabishana kuhusu mambo ya vitabu hivi na mmoja anasema kitu ambapo akili ya kawaida haishawishiki; kwamba ukifanyia hivi basi unageuka panya. Mtoto yule mwingine udadisi umemshinda anasema 'haiwezekani'. Yule mwingine akiamini kabisa kuwa hilo hutokea akaenda kuchukua kitabu na kumletea huyu mwingine (vinginevyo huyo mtoto wa Kikristu alitoa wapi hiyo Quran?). Yule akajaribu na wote wakakaa hapo kuangalia kama atageuka mnyama. Hakugeuka!

Kama angegeuka kuwa panya yule mtoto mwingine angeelezeahilo tukio na badala yake eneo zima watu wangerindima kwa kisa cha mtoto aliyekojolea Quran ageuka panya! Sasa, haya mabishano yalikuwa ni ya kitoto na yasiyo nahekima yoyote. Watu wazima walipoitwa kuoneshwa kilichofanyika (kama ndivyo kilivyofanyika) walitakiwa kuonesha hekima ya kulishughulikia. Walitakiwa wawaeleweshe hawa watoto umakini na sensitivity ya vitu hivi na kwanini ni makosa kumtaka mtu akufuru kitabu cha Mungu ili uone nini kitamtokea na ni kosa pia kukubali jaribio hilo kwani linagusa imani za watu.

Hili jambo wala lisingefika hapa kabisa. Badala yake tunashuhudia mavuno ya mbegu ya udini. Mavuno ambayo watawala wetu wameyapanda na sasa hadi watoto wanavuna. Badala ya watoto wetu kuishi kwa kuaminiana na kupendana urafiki wao umetiwa mashakani na tukio hilo litaacha alama katika maisha yao yote. Na kama walikuwa ni marafiki wa karibu basi siyo tu wamepoteza urafiki kwa sababu ya ujinga wamejenga mpaka mpya kati ya Wakristu na Waislamu.

Yote haya ni kwa sababu ya kukosekana viongozi wenye hekima. Ndio maana binafsi ninalia sana na ukosefu wa hekima kama tunu ya muhimu zaidi kwa viongozi wetu. Leo watajaribu kutaka wananchi watulie kwa sababu sisi sote ni ndugu; lakini wakati mbegu za udini na chuki dhidi ya Wakristu zinapandwa kila siku wako kimya. Wanakuwa kimya pale ambapo Waislamu wanaona wanaonewa na kukandamizwa na mfumo wa kifisadi ambao wanaona umewabeba sana Wakristu! Matokeo yake ndiyo haya. Na tusipoangalia yatazidi kwa sababu endapo vijana wa Kikristu nao wakiamua kuchoma Misikiti au tutakuwa tumefika kule ambako niliwahi kuandika nyuma - Tanzania kufuata njia ya Nigeria.

Lakini cha kukwaza zaidi ni kuwa taarifa kwamba mtoto anayedaiwa kufanya hivyo kumbe ni Muislamu zinatosha kuthibitisha kuwa hekima inahitaji watu kutulia kwanza na kupata ukweli wote badala ya kupaparika na kuwahi kuhukumu watu. Sasa kama ni kweli mtoto aliyefanya hivyo ni Muislamu, hawa waliochoma makanisa wataenda na kuchoma misikiti? Au hawatochoma kwa sababu ni Muislamu "mwenzao"? Au wataamua kwenda kuchoma nyumba yake tu? Lakini watafanya nini kwa makanisa ambayo yamechomwa wwatasaidia na kujitolea kuyajenga tena baada ya kuyaharibu?

Kuna ugumu gani kwa watu kusubiri na kupata taarifa zote kwanza kabla ya kuchukua uamuzi wa kisheria au kisiasa (kuandamana n.k). Itakuwaje kama watu wangeuawa katika hili na baadaye igundulike kuwa ilikuwa ni watoto tu ambao walihitaji kuwekwa sawa tu? Kama kweli mtoto aliyefanya hivi ni Muislamu basi kilichotokea ni ushahidi usiopingika wa udini uliotukuka. Maana kusikia tu "mkristu kafanya hivi" basi Wakristu wote wamekwekwa hatiani!

Tuombe hekima zaidi kuliko kitu kingine kama alivyofanya Mfalme Suleiman (AS)
 
...Inatisha kusema kweli....watu wanasubiri litokee jambo dogo tu walikuze liwe kubwa. Sasa hapa ikiwa misikiti itachomwa moto si ndio mwanzo wa kuchinjana wenyewe kwa wenyewe!? Haya yote yanasababishwa na pengo kubwa la uongozi nchini. Nchi yenye Viongozi ambao wanajali maslahi ya nchi yao hizi chuki za kiasi hiki ni vigumu sana kuziona/kusikia.

Udini umependwa na ccm na Kikwete sasa haya ndiyo matunda yake tukifanya mchezo tanzania ndani ya miaka 5 ijayo itakuwa historia juzi nimesikia kuna dini eti haitaki uwaumini wake waishi na dini zingine haaaaah masikini mimi sijui nitaenda wapi maana mke dini tofauti baba na mama nao dini tofuti wake zangu nao kila mmoja na dini yake ....
 
yani waislamu nashangaa kwa hili, sasa mtu kakojolea msaafu wao wamechoma makanisa na mabishano yalikuwa ya baina yao hakutumwa na makanisa aukojolee.
Hivi ingekuwaje pale mwislamu akimwita mkristo kafiri basi wakristo wachome misikiti.
Kwa hili ama kweli tunakoelekea kubaya serikali inabidi itake action nahisi anahitajika raisi dikteta tena dikteta kweli
 
dini haisemi hivi mdau,na pia tambua kuwa si kila musilam ana elim ya dini

Nashukuru kwa msaada huu maana nami siamini kama kuna aina yoyote ya Mungu anayeweza kukubali vitendo hivi. Maana angalia zile picha zilizopigwa, waliopigwa mabomu ya machozi ni pamoja na watoto wa kiislamu. Mtu asifikiri akianzisha fujo za kidini ni upande mmoja tu utaathirika. Wote tutaathirika. Halafu wanaharibu makanisa ili watu wakasalie wapi. Hivi tu kuna makanisa na misikiti uhalifu uko hivi, je kukiwa hakuna makanisa na misikiti hali itakuwaje? Ndio sababu nasema viongozi wa waislamu watoe tamko juu ya uhuni huu unaoendelea kwa kutumia kivuli cha dini ya kiislamu. Siku moja patakuwa hapatoshi hapa.
 
hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....

Hata mwendawazimu anafungwa kwenye kisiki ili asiweze kuwazuru watoto watu wazima wakienda shambani!
umeshaambiwa ni watoto! wewe unasema wakristo mimi ni mgala nimehusikaje? Hatua gani ichukuliwe? wao ndio wanahukumu kwa mujibu wa sharia sio sheria ambayo inatafuta mkosaji nani! huoni huo ni wazimu!
Mwenzio katoa ushauri kwamba umefika wakati sasa kama mamlaka husika zimeshindwa Kutulinda! kuna haja ya KUJILINDA! NA IWE HIVYO.
 
kwaiyo mlikua mnatakaje??muikashifu dini na kitabu chetu cha muongozo kisha sisi tufurahi??
nyinyi ndio mnaweza kufurahia taarifa kama hiyo,mana kila siku mnabadilisha version from old testament had classsic ones
lazma tujifunze kuheshimiana,klia mtu kivyake vyake,kila mtu na dini yake,,kwanin uiokojee qur an yangu kwan agano jipya lako si unalo??kojolea hilo basii,,ebo...!!
:hatari::hatari:
 
Ni mungu gani huyo mnaye muabudu?

Ni mungu gani huyo anayetaka watu wafe?

Ni mungu gani huyo anayetaka watu wachukiane/wasipendane?


#mungu ibariki tanzania#
 
Kumbe mtoto aliyekojolea quaran si mkristo ni mwislam (Source Magic FM)

kwamba makanisa yamechomwa kama kuonesha hasira za quaran iliyokojolewa na mtoto ambae wala si mkristo inakua ngumu sana kuelewa, kuna watu wanapenda tu violence
 
Huku tunakoelekea ni kubaya tena sana. Hivi kweli imekosekana kabisa busara ya kuweza kuadhibu vitendo vya hao watoto kwa njia za kiungwana mpaka tufikie huku kwenye kuchoma Makanisa as if huyo mtoto ndo mmiliki au katumwa na makanisa kufanya hicho kitendo!! What if waumini wa Makanisa nao wakaamua kujibu mapigo? Au kwakuwa waislamu mmekuwa mkiachiwa kutamba kwa kuwaonea makristo ambao huiacha serikali itatue tatizo nayo huchukulia poa. Kumbuka Zanzibar, mmeanzisha fujo kisha mkazuga hamhusiki na uamsho lakini ukweli unajulikana. Nwaya,ngoja tuone
 
kwaiyo mlikua mnatakaje??muikashifu dini na kitabu chetu cha muongozo kisha sisi tufurahi??
nyinyi ndio mnaweza kufurahia taarifa kama hiyo,mana kila siku mnabadilisha version from old testament had classsic ones
lazma tujifunze kuheshimiana,klia mtu kivyake vyake,kila mtu na dini yake,,kwanin uiokojee qur an yangu kwan agano jipya lako si unalo??kojolea hilo basii,,ebo...!!
:hatari::hatari:

mlikatazwa kukojolea biblia?
Nani alikwambia Mungu anaishi kwenye makaratasi yaliyotengenezwa na binadamu?
Haijalishi kama ni biblia au kuruani yote yanachapwa viwandani.....

Mambo mengine hayahitaji hata kutumia akili
 
Back
Top Bottom