Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya Waislamu waliokwenda kuchoma moto kituo cha polisi na kumtoa mtoto alie kojojea Kuran.

Huyo mtoto ni wa kidato cha kwanza walikua wanabishana na mwezie kwamba ukikojolea Kuraan utakuwa kichaa ndipo huyo kijana alipokojolea na hakuwa kichaa na mwenzie alivoona hivo akawataarifu watu kuwa mwenzie kakojolea kuraani, watu wakamkimbiza polisi kumwokoa na ndipo wananchi walipokwenda kituo cha polisi kutaka kutoa kipigo kwa mtoto huyo na polisi wakaja kumlinda na mabomu yakatumika kutawanya watu.

Source: Radio Clouds dk chache zilizopita
 
Jaman Mungu gani anategemea askari wenye nyama(mavumbi) na damu wamtetee? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe, wala hahitaji kutetewa na mtu aliyemuumba. Mimi naamini kufanya hivyo ni kushusha hadhi ya MUNGU na kuapndisha hadhi ya binadamu

halellujah, umenena mkuu
 
Kwahy kilichomuuma huyo dogo mwingne ni kuona mwenzie hajawa chizi kama alivyodhani akaamu kuwatonya jamaa na wakati ubishi alianzisha mwenyewe.
 
why jihad....ni kitu gani hasa kimetokea watanzania tumekuwa hivi....? tumeishi kwa amani na ushirikiano wakristo na waislamu miaka yote.....tuna ndugu waislamu/wakristo.....tuna wapenzi waislamu/wakristo....je tuuwane kisa dini.....NO....Abdulrahman wangu simuachi labda kije kiama.....

Leo manamshiki yupo kibusara zaidi! Full mapoint! Safi sana.
 
Sasa kama dogo kawekeana dau na mwenzie na akashinda tabu iko wapi? Wamlaumu huyo aliweka dau kwa upande wao, kwa nini alijiamini bila kuwa na hakika na uwezo wa msaafu kumdhuru mwenzie?
 
Dah,nmepita mida hii mbagala akufai waislamu wanaotka msikitin nao wana liunga,magari ya police yanasomba watu kituo cha kizuian kimekua kdgo wanawapaleka kilwa road,dah mara yangu yakwanza mabomu yananiadhiri,hali ni mbya jaman.
 
Nipo mitaa ya kizuiani ni taharuki tupu maana kila mahali ni mlio wa mabom zoezi limeendelea kwa muda sasa na bado lina songa mbele sijui nini itakuwa hatma
 
Duh! sasa hawa nao hawana kazi za kufanya? MBONA WAISLAMU KILA KUKICHA HUWA WANACHOMA NA KUIDHIHAKI BIBLE! na hakuna anayewabeza. mabishano yao ya utoto na ya shule ndio yamezua hayo?
 
hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....

Huo msaafu mtoto kaupata wapi? Au ndo kama ya Pakistan, shekh kachana uk. wa kuruan na kuichomeka katika begi la binti mkristo,ili binti huyo afungwe! Je, mungu wao ni marehemu hadi wamtetee? Mungu aliye hai, hujiteytea mwenyewe. (hapa Mungu aliye hai Ndiye Bwana wa Majeshi, jemedali wa jeshi ni malaika Mikael) Huyu mwingine jeshi lake ni lipi, la hawa wala nguruwe na wanywa pombe na kuacha uhuni huo wakati wa mwezi ramadhani tu?

Ni KWELI, miungu ni wengi, ila Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo hahitaji watu wamtetee. Dunia na mambo yote yatapita, lakini Neno lake halitaondoka hata kwa silabi moja, Asema BWANA, Mungu wa Majeshi.
 
Mhhhh!Hawa wenzetu,kila kitu wao.Itabid tume iundwe kuchunguza hili na twaweza ambiwa kuna mkono wa cdm.Mungu tuepushe na haya.Kisima cha aman ck hiz kila baada ya wk mabomu!!Je,tutafika?
 
Back
Top Bottom