VPL: Tupange kikosi bora cha msimu 2020/2021

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,172
6,882
Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL).

Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na wanaendelea kufanya vzr kama Dube, Chama,MUKOKO, MKANDALA, Manula n.k.

HAYA TWENDE >

1. Aishi MANULA
2.
3.
4.
5. Joash ONYANGO
6.
7.
8.
9. Prince DUBE
10. Clatous CHAMA
11. Luis MIQUISSONE

"Unazi weka pembeni"
 
1.Manula
2.Kapombe
3. Zimbwe
4.Onyango
5.Mwamunyeto
6.Mukoko
7.Miquesson
8. Tigere
9. Prince Dube
10.Chama
11. Ambundo
 
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe Jr
4. Onyango
5. Wawa
6. Mukoko
7. Nado
8. Bwalya
9. Dube
10. Chama
11. Miquessone
Kikosi bora sana hiki .Na mm ningechagua kama hiki ila hapo kwa dube ningemtoa nimuweke Ntibanzonkiza au Kagere
 
Nilikuwa Bado nachambua..

1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe JR
4. WAWA
5. Onyango
6. Lwanga
7. Mukoko
8. Bwalya
9. Prince DUBE
10. CHAMA
11. Miquissone

MFUMO: 4-2-3-1, 4-3-3
Asa si ungesema tu ni Simba wakimsajili Dube na Mukoko ndio wanakamilisha kikosi bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom