Vote of No Confidence To Kikwete. He is a Danger to The Country. He Must Go

Status
Not open for further replies.
Mlimchagua wenyewe... Si mlitaka Rais handsum wa kuuza sura? Mmempata tunae huyu mpaka 2015... Kuna baadhi ya wana ccm wanataka apigwe chini au ajiuzulu kabla ya 2015 bt sioni hiyo kutokea

Really....Sito shangaa sana kwani nitashangaa kama halitatokea...Niliona ndege yake ikiungua hewani kwa macho ya kinabii na ilikuwa 2007 nami nilipokuwa nikiona wanafanya mizaha wakati watu serious na waliomtakia mema wakipiga kelele mpaka wakachoka huku waliokuwa na ajenda zao waliendelea kumdanganya kwa faida zao binafsi nilitambua ule ulikuwa unabii kamili; sasa anaona its too late for almost everything na hajui ashike lipi aache lipi too bad for him!
 
Scramble for Africa - Wakoloni walikuwa wanajigawia tu maeneo wanavyotaka uatafikiri wanagawiana peremende. Kuna nyakati walikuwa wanapeana tu maeneo kama zawadi mradi sababu ipo. Hapa ndipo anatakiwa kiongozi mwenye msimamo...ukianza kukubaliana na madai kama ya hawa Wamalawi, utakuwa unafungua pandora box. Vipi Kenya watakapodai Kilimanjaro? Vipi Sultani akidai Zanzibar na pwani ya Tanzania? Vipi Tanzania ikidai Rwanda na Burundi? Itakuwaje Uganda wakiidai Kagera? Je Malawi watatosheka na Ziwa Nyasa au wataanza kudai pia Mbeya? Hili dai linataka siyo tu kukemewa, lakini pia karipio kali na onyo kutoka kwa Raisi wetu...ni bahati mbaya yupo yupo tu!
attachment.php
 
Ccm B lowasa and at work... Safi sana lowasa anza kutusafishia njia cdm wagonganishe vichwa gambaz huna cha kupoyeza Kama ni ma (B) unayo yakutosha mwaga mboga eroooo JK kashamwaga ugali

The guy has nothing to do with this believe me vitu vinaji set vyenyewe naturally tu nao hata wasiotegemea wanakuwa sehemu ya ukamilifu wa huu unabii na mara si mbali kuanzia sasa wataanza (maadau wa nchi=mafisadi) kunyanyua silaha zao mpaka watakapo jimaliza wote ndipo sasa tutakapo mpata the real man kuipeleka Tz kwenye neema ambayo ninapo itazama kwa macho ya imani ninamstaajabia Mungu kwa jinsi alivyo mwaminifu wa ahadi zake....Tanzanians future yetu ni nzuri ajabu I wish Mungu angewafunulia sehemu ndogo tu mkaona how life could be....Kila mtu angeanza kupiga kelele za shangwe!
 
hata kaizari hakutawala milele
cmm nayo itakufa siku sio nyingi
tangu lini msawahili akafanya maamuzi magumu?
wabunge wa sasa kujipendekeza kutwa kucha wanahofia matumbo yao na sio mustakhbali wa nchi
nadhani sisi vijana wa leo ndio tutakomboa nchi na sio kizazi hiki ca unafiki
msigwa anasema SO WHAT SO WHAT CCM KUTAWALA DAIMA?
ila naamini nchi imemshinda atauza mbuga atatimka 2013.
 
Katiba ya Tanzania ni bomu sana, huyu msanii anavurunda kwa kiwango cha juu kabisa lakini hakuna hata anayeweza kufanya lolote lile ili kuinusuru nchi yetu. Na bado ana miaka mingine mitatu ambayo mpaka aimalize nchi itakuwa katika hali mbaya sana.

Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......
 
Hoja kama hizi ni kupotezeana muda tu. Mtoa maada anajua wazi na wachangiaji wote vilevile wanafahamu fika kwamba JK hawezi ondoka. Piga ua garagaza. Hata kije kiama au kama angewauza literally baba zenu na utitiri wenu woote na mama zao kwa Waburushi kwa senti 5 tu. JK bado atatawala hadi ngwe yake ikamilike.
 
Chama kinachojiita cha wakulima na wafanyakazi kilianza kujiua mara baada ya viongozi wake kuacha kutumia tumbo badala ya kichwa kufikiri.
 
yaan nakaribia kuvunja pc ya ofisi huyu jamaa angetakiwa kuwa raisi wa bendi fulani na si kiongozi wa nji aghrrrrrrrrrrrrrrrr
 
CHADEMA wanamloga RAISI..wameloga uwezo wake wa kufikiri.. Si bure.
 
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......

Matamshi gani? Au kusema Samweli Sitta, Benard Membe na Edward Ngoyai Lowassa ni WAPINZANI wanachochea vita na Malawi Kwa Uroho wa Madaraka.
 
wekeni kiboksi cha kura,
ili tuone kati ya ndiyo na hapana ni yupi mshindi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom