C Criterion JF-Expert Member Jan 8, 2008 11,798 11,881 Nov 12, 2012 #81 Na huu ndio mtaji wa wote wasio na nia njema na taifa. Hawawezi kufanya jitihada za kuondoa ujinga kwa sababu watu wakijanjaruka, mwisho wa kijiwe!
Na huu ndio mtaji wa wote wasio na nia njema na taifa. Hawawezi kufanya jitihada za kuondoa ujinga kwa sababu watu wakijanjaruka, mwisho wa kijiwe!