Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,558
- 113,751
- Thread starter
- #441
UpdateDr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.
Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu
P.
1. Kwa mujibu wa bandiko hili, ilikuwa awe Huseni, sasa ni Filipo!. Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.
P