Voice navigation system NDDA w55 yagari haifanyi kazi - needs re boot disk. Tafadhali saidia ushauri

sambu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
283
282
Gari limekuja na hii system lakini inaonekana kuhitaji CD ya ku reboot ili ifanye kazi. Nasikia kuna wanaofanya hii kazi. Tafadhali wana jf saidia hapa nimekwama.
 
usipate shida ingia google type hiyo kitu pata maelezo ya uhakika then unaweza kudownload kupita google
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom