VODACOM wanijibu la najitoa!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Huvi majuzi nilinunua moderm ya Voda. Naitumia town fresh, iko poa. Shida ninapokuwa nje ya mji kidogo, mawasiliano hakuna. Je hii ni shida gani. Kuna yeyote anayepata shida hii? Nalazimika kurudi Zantel ila nilipenda Voda zaidi. Voda watuambie configuration zitakiwazo la sivyo najitoa kundini.
 
na mimi nimekumbwa na tatizo hilo,nikaenda vodashop mlimani ciy wakaniambia wanalishugulikia tatazo langu,but ni masaa 7 sasa yamepita tangu niripoti na tatizo bado lipo!.Agr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
MIMI NILIWEKA vOCHA YA 5000/= IKAGOMA KUWAPIGIA WANANIAMBIA VOCHA HIZO ZILIINGIZWA SOKONI LKN HAWAJAZISAJILI KWENYE SYSTEM YAO HIVYO NISUBIRI NIMESUBIRI TOKEA JANA HADI LEO SAA HIZI KILA NIKIPIGA BADO WANASHUGHULIKIA NAMI NAFIKIRIA KUJITOA
 
Nimewasiliana nao. Hata mtu wa huduma kwa wateja hajui cha kujibu. Niko porini kwa sasa ila nitaenda physically vodashop nikirudi town.

Maana yake hakuna coverage huko, that's 3G/Wimax haijawa installed kwenye tower ya karibu na huko ulipo, solution ni kwao ku-instal huko kama itakuwa ni economically viable.
 
Maana yake hakuna coverage huko, that's 3G/Wimax haijawa installed kwenye tower ya karibu na huko ulipo, solution ni kwao ku-instal huko kama itakuwa ni economically viable.
Sure, network ya kawaida inaweza kuwepo lakini network ya internet ikawa haipo!
 
Nadhani sehemu yoyote yenye network ya kawaida ya Voda pia unatakiwa kupata internet, sio kwa speed ya 3G lakini net unatakiwa kuipata. Kuna network ya Voda huko uliko?
 
Hapo ndipo makampuni ya simu yanapokosea. You can't serve 2 masters, it's either you offer voice or data services and not both. Waachieni ISP's wafanye kazi yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom