VODACOM wajue, kupoteza mteja mmoja ni kupoteza mapato ya wateja 100. The true cost of losing one customer

Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki mwenye line ya voda utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa
Unaongea unachokijua kuhusu iyo back bone au unaropoka tu?? Rudi kafanye uchunguzi tena uje uauodate comment yako.
 
The True cost of losing a customer.

One negative customer experience may seem like a drop in the ocean of all your customer interactions, but it’s never that simple. Losing a customer isn’t as simple as losing a single sale. Consider these statistics from a recent survey from NewVoiceMedia:

After experiencing poor customer service:

• 37% of customers would change their supplier
• 28% would post a negative online review
• 26% would complain via social media
• 13% would tell friends/colleagues
10% would inform the media

Huu ni mfano tu. Mimi ni mfanyabiashara, phone book yangu ina contacts 150, kati yao 110 tunawasiliana kupitia voda-voda.

Kwa siku huwa napokea simu kati ya 30-40 kwenye namba yangu ya voda na hutumia wastani wa dakika 1-2 kuongea = dk 80 kwa siku.

Huwa natumia laini ya voda kupiga voda -voda na mitandao mingine kwa wastani wa calls 15-20 kwa siku @ dk 2 = dk 40 kwa siku.

Athari ya laini moja ya Voda iwapo itafungwa au kujitoa.

1. Watu zaidi ya 110 walio kwenye contacts yangu ambao wangetumia vocha za Vodacom watakosa mawasilino yangu.
2. Zaidi ya dk.120 (80+40) kwa siku sawa na masaa 60 kwa mwezi yapotea.
3. Bando la Data, kwa wastani natumia 150MB kwa siku = 4.5GB kwa mwezi hazitatumika.
4. M Pesa transactions kati yangu na wateja wangu haitafanyika, faida ya mikopo ya M PAWA na SONGESHA nk. haitapatikana.

Hasara hii inasababishwa na mteja mmoja, VODACOM ina wateja takribani milioni 14, let say 10% tu ya wateja wa Voda wanajitoa, 10% yake ni 1.4M.

VODACOM kwa mwezi watapoteza,

1. Airtime: Dk. 3,600 x 1.4m = dk. 5,040m, ukizidisha gharama ya sh.5@sek= sh.300@dk, kampuni itapoteza mapato ya Tsh.1.5t kwa mwezi.

2. DATA (MB): 4.5 X 1.4m = 6.3mGB zitapotea kwa mwezi. Gharama ya kuperuzi ni sh.0.26@bt, kampuni itapoteza tsh.1.6t kwa mwezi.
3. Hasara ya transactions za M Pesa, M PAWA, Nipige Tafu na Songesha kwa wateja 1.4m itakuwa kubwa zaidi.
4. Missed calls: 40 + 20 = 60 kwa siku (kupiga na kupigiwa), kwa mwezi sawa na 1,800 x 1.4m = 2,520m (2.52b) missed calls, watu watakuwa disappointed na kusababisha wengine kubadili mtandao.

Hii ndiyo nguvu ya kumpoteza mteja mmoja kwenye biashara, wataalamu wanasema gharama ya kumrudisha ni mara sita zaidi ya kumbakisha.
multiplier effect!!
 
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
We ni mfagiaji wa vodashop?
 
Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki mwenye line ya voda utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa
wape moyo
 
Akili za kijani bwana!!!! Wewe baki na wenzio nashangaa mpaka leo hamjafungua vodashop hapo kwenu Lumumba!!!!
 
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
Labda ufanye tathmini ndugu tu ya watu waliopokea huu mgomo baridi mitandaoni itakusaidia kujua multiplication effect ya hili tatizo Voda wanalolifuga
 
Ugonjwa wa akili huo
Hiyo line yako mpya ukipigiwa simu na mtu mwenye kutumia voda utapokea au utakua unakata?
Akili ndogo kabisa Ni hivi huyo anayenipigia na voda kwenye mtandao mwingine naye baada ya muda atashindwa kumudu gharama za kucross mtandao na mwisho atatafuta line ya mtandao Kama wangu ili anipigie.. simple
 
Mkuu huwa naheshimu baadhi ya michango yako, lakini kwenye hili naona unateleza.
Kupoteza mteja hata mmoja kwenye biashara yoyote hasa ya mawasiliano ni pigo, Vodacom hawaishi kwa Ruzuku kama ilivyo kwa gazeti la Uhuru, Vodacom wanafanya biashara na watanzania bila kujali itikadi.
Katika hili Vodacom wamefanya kosa ambalo lazima liwagharimu.
Suala la kila anayemiliki simu yuko uchi hilo tunalijua, lakini anayekwenda kutangaza uchi aliyouona mahali pa faragha huyo ni mwendawazimu.
Sasa kama Vodacom inashirikiana na wapiga chabo ambao baadaye wanatangaza ukubwa wa maumbile yetu lazima tuwaadhibu
Bado voda watakua na uwezo kukudukua kupitia hiyo simu ya mteja wao abaye ni ndugu yako
Tatizo mna uelewa finyu wa IT,waziri kamwelwe kasema hata ubadili line au utumie watsapp,ujue upo uchi tu!
 
Simple nimeilock kabisa network yao through *21*0000# kwisha habari nikishapokea hela yangu ya Mpesa rasmi naizika
 
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
Anaweza asijitoe lakini akawa na passive movement, haweki vocha pia anaipa mitandao mingine kipaumbele kama airtel etc so madhara yapo japo yanaweza yakawa kidogo
 
Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki mwenye line ya voda utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa

Hujaelewa chochote zaidi ya heading!! Tatizo nyie wavulana hamsomi content ya kilichoandikwa kabisa
 
Anaweza asijitoe lakini akawa na passive movement, haweki vocha pia anaipa mitandao mingine kipaumbele kama airtel etc so madhara yapo japo yanaweza yakawa kidogo
Kwani Airtel wakiombwa taarifa za mteja wao na TCRA wanakataa?
 
Back
Top Bottom