VODACOM wajue, kupoteza mteja mmoja ni kupoteza mapato ya wateja 100. The true cost of losing one customer

The True cost of losing a customer.

One negative customer experience may seem like a drop in the ocean of all your customer interactions, but it’s never that simple. Losing a customer isn’t as simple as losing a single sale. Consider these statistics from a recent survey from NewVoiceMedia:

After experiencing poor customer service:

• 37% of customers would change their supplier
• 28% would post a negative online review
• 26% would complain via social media
• 13% would tell friends/colleagues
10% would inform the media

Huu ni mfano tu. Mimi ni mfanyabiashara, phone book yangu ina contacts 150, kati yao 110 tunawasiliana kupitia voda-voda.

Kwa siku huwa napokea simu kati ya 30-40 kwenye namba yangu ya voda na hutumia wastani wa dakika 1-2 kuongea = dk 80 kwa siku.

Huwa natumia laini ya voda kupiga voda -voda na mitandao mingine kwa wastani wa calls 15-20 kwa siku @ dk 2 = dk 40 kwa siku.

Athari ya laini moja ya Voda iwapo itafungwa au kujitoa.

1. Watu zaidi ya 110 walio kwenye contacts yangu ambao wangetumia vocha za Vodacom watakosa mawasilino yangu.
2. Zaidi ya dk.120 (80+40) kwa siku sawa na masaa 60 kwa mwezi yapotea.
3. Bando la Data, kwa wastani natumia 150MB kwa siku = 4.5GB kwa mwezi hazitatumika.
4. M Pesa transactions kati yangu na wateja wangu haitafanyika, faida ya mikopo ya M PAWA na SONGESHA nk. haitapatikana.

Hasara hii inasababishwa na mteja mmoja, VODACOM ina wateja takribani milioni 14, let say 10% tu ya wateja wa Voda wanajitoa, 10% yake ni 1.4M.

VODACOM kwa mwezi watapoteza,

1. Airtime: Dk. 3,600 x 1.4m = dk. 5,040m, ukizidisha gharama ya sh.5@sek= sh.300@dk, kampuni itapoteza mapato ya Tsh.1.5t kwa mwezi.

2. DATA (MB): 4.5 X 1.4m = 6.3mGB zitapotea kwa mwezi. Gharama ya kuperuzi ni sh.0.26@bt, kampuni itapoteza tsh.1.6t kwa mwezi.
3. Hasara ya transactions za M Pesa, M PAWA, Nipige Tafu na Songesha kwa wateja 1.4m itakuwa kubwa zaidi.
4. Missed calls: 40 + 20 = 60 kwa siku (kupiga na kupigiwa), kwa mwezi sawa na 1,800 x 1.4m = 2,520m (2.52b) missed calls, watu watakuwa disappointed na kusababisha wengine kubadili mtandao.

Hii ndiyo nguvu ya kumpoteza mteja mmoja kwenye biashara, wataalamu wanasema gharama ya kumrudisha ni mara sita zaidi ya kumbakisha.
Simu business income ni zaidi ya miradi ya gesi au dhahabu kwa mujibu wa hesabu zako!
Ila siri yake ni lazima uhuru wa kusema (freedom of speech) uwepo.
Ni source kubwa ya mapato ya kodi kwa Serikali lakini ni kitanzi kwa dictatorships kwasababu an informed public is an empowered electrorate.
So let them choose between a rock and a hard place!
 
Inawezekana hata hesabu hujui na masomo ya biashara ulikimbia.
Kama wewe unajiona mtaalam wa hesabu,ndio mana unajitoa
Vodacom haitatingishika,kwa kua eti wafuasi wa chadema wanajitoa
Hayo ni matatizo yanayotokana na stress za kushindwa kupambana na chama tawala,hasira zinahamishwa kwingine
QUOTE="Quinine, post: 32346608, member: 24815"]
Unamaana gani unaposema iko powered.

Hatukimbii vodacom tunakimbia provider anayeshirikiana na watekaji.
[/QUOTE]
Kuwa powered maana yake imewezeshwa na vodacom
Kukimbia vodacom ni sawa na kukimbia kivuli chako
 
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
Kwa hio wakisema ccm unajitoa?
 
Kama wewe unajiona mtaalam wa hesabu,ndio mana unajitoa
Vodacom haitatingishika,kwa kua eti wafuasi wa chadema wanajitoa
Hayo ni matatizo yanayotokana na stress za kushindwa kupambana na chama tawala,hasira zinahamishwa kwingine
QUOTE="Quinine, post: 32346608, member: 24815"]
Unamaana gani unaposema iko powered.

Hatukimbii vodacom tunakimbia provider anayeshirikiana na watekaji.
Kuwa powered maana yake imewezeshwa na vodacom
Kukimbia vodacom ni sawa na kukimbia kivuli chako
[/QUOTE]
Wewe kama unamaslahi na hao voda baki by the way Vida hawana issue niwapumbavu tu naomba watu wenye akil timamu wavunjevunje line za Vida zote yabaki mapoyoyo ya ccm maana ni majinga.
 
Vodacom yaani kweli mnakata mawasiliano ya Kabendera ili Wasiojulikana wamteke. ?
Shame on you!
 
Kuwa powered maana yake imewezeshwa na vodacom
Kukimbia vodacom ni sawa na kukimbia kivuli chako
Wewe kama unamaslahi na hao voda baki by the way Vida hawana issue niwapumbavu tu naomba watu wenye akil timamu wavunjevunje line za Vida zote yabaki mapoyoyo ya ccm maana ni majinga.
[/QUOTE]
Ukishavunja line unahamia wapi mkuu,Zantel?
Acha kukimbia kivuli chako,mtarudi tu tena kwa maumivu makali sana
Waafrika hamjui upinzani
Odinga aliwahi eti kuwashawishi wafuasi wake kenya nzima wasusie maziwa ya kenyatta!
Unaanzaje kususia kunywa maziwa wakati unafanya kazi kiwanda cha cement au nondo?
Mazwazwa mwisho wa siku mtakosa la kufanya huku mmepoteza contacts zenu
 
Lakini watu smart bado wanaweza endelea tumia voda kwa mawasiliano yanayoweza onekana hayana madhara kumbe ni kinyume. Lililotokea ni faida zaidi kwa wateja maana siri imekua siyo siri tena!
 
Ukishavunja line unahamia wapi mkuu,Zantel?
Acha kukimbia kivuli chako,mtarudi tu tena kwa maumivu makali sana
Waafrika hamjui upinzani
Odinga aliwahi eti kuwashawishi wafuasi wake kenya nzima wasusie maziwa ya kenyatta!
Unaanzaje kususia kunywa maziwa wakati unafanya kazi kiwanda cha cement au nondo?
Mazwazwa mwisho wa siku mtakosa la kufanya huku mmepoteza contacts zenu
Kabla ya Vodacom watu walikuwa hawawasiliani, unadhani watu wote ni wateja wa Vodacom.

Kama sio mfanyabiashara huwezi kujua impact ya kususia bidhaa, unajua mahusiano ya Kenyatta na Odinga yakoje baada ya kususiwa.
 
Ugonjwa wa akili huo
Hiyo line yako mpya ukipigiwa simu na mtu mwenye kutumia voda utapokea au utakua unakata?
Hata akipigiwa na mtu wa Voda tayari yeye atakuwa ametimiza wajibu wake wa kujitoa.
 
Kama wewe unajiona mtaalam wa hesabu,ndio mana unajitoa
Vodacom haitatingishika,kwa kua eti wafuasi wa chadema wanajitoa
Hayo ni matatizo yanayotokana na stress za kushindwa kupambana na chama tawala,hasira zinahamishwa kwingine
Umeongea siasa sio biashara na uchumi.
 
Kama wewe unajiona mtaalam wa hesabu,ndio mana unajitoa
Vodacom haitatingishika,kwa kua eti wafuasi wa chadema wanajitoa
Hayo ni matatizo yanayotokana na stress za kushindwa kupambana na chama tawala,hasira zinahamishwa kwingine
QUOTE="Quinine, post: 32346608, member: 24815"]
Unamaana gani unaposema iko powered.

Hatukimbii vodacom tunakimbia provider anayeshirikiana na watekaji.
Kuwa powered maana yake imewezeshwa na vodacom
Kukimbia vodacom ni sawa na kukimbia kivuli chako
[/QUOTE]
Kama wafuasi wa CHADEMA/UPINZANI wataikimbia Vodacom, ni lazima vodacom itafilisika.
 
Ugonjwa wa akili huo
Hiyo line yako mpya ukipigiwa simu na mtu mwenye kutumia voda utapokea au utakua unakata?
Katika hili mfano rahisi wa jibu ni huu, unaweza ukawa na simu aina ya iphone na hupendi ama umehama brand nyingine kama Tecno lakini mtu wa Tecno akikupigia huwezi acha kupokea. Hii kibiashara maana yake, Tecno wamekosa mteja na iphone wana royal customer.

Kwa tafsri nyepesi hii ni hasara kupoteza mteja, uhusiano wa kijamii ama undugu haufi kati ya mpiga simu na mpigiwa simu hivyo hutoacha kupokea simu, kinachokufa ni uhsiano wa kibiashara kati ya mteja amabaye aliyehama Vodacom kwenda kwa mshinda wa Vodacom.
 
Mkuu sidhani kama atakuelewa wao wanafikiri kila kitu kinaendeshwa kisiasa, hajui kwa sasa bodi ya Voda inahangaika ku react ili kulinda reputation ya kampuni, ndio maana jana wamekuja na mpango wa kupunguza gharama za bando.
 
Katika hili mfano rahisi wa jibu ni huu, unaweza ukawa na simu aina ya iphone na hupendi ama umehama brand nyingine kama Tecno lakini mtu wa Tecno akikupigia huwezi acha kupokea. Hii kibiashara maana yake, Tecno wamekosa mteja na iphone wana royal customer.

Kwa tafsri nyepesi hii ni hasara kupoteza mteja, uhusiano wa kijamii ama undugu haufi kati ya mpiga simu na mpigiwa simu hivyo hutoacha kupokea simu, kinachokufa ni uhsiano wa kibiashara kati ya mteja amabaye aliyehama Vodacom kwenda kwa mshinda wa Vodacom.
Bado voda watakua na uwezo kukudukua kupitia hiyo simu ya mteja wao abaye ni ndugu yako
Tatizo mna uelewa finyu wa IT,waziri kamwelwe kasema hata ubadili line au utumie watsapp,ujue upo uchi tu!
 
Hakuna mtu anayesema hawezi kudukuliwa tunachopinga ni kitendo cha Voda kushirikiana na watekaji wazi wazi.
 
Back
Top Bottom