Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

airtel ndo wapo friendly user ukilinganisha na tigo na voda
 
Tumia akili.....rudi shule jifunze IT na utaweza piga simu mitandao yote bila kulipa.....kama voda wanaiba basi na wewe waibie

nalo neno sasa mtoto wakafuku nilifukuzwa shule kisa nilikosa ADA nitafanyaje miye :A S 576: :A S 576:
 
Naile kukukopesha 500 wanakukata 600 siielewi maana hakuna kifurushi chochote cha 400 zaid ya cha sms..wakati wengi tushaachana na sms.

Hapa shida yao hiyo 400 uliwe bila kijiunga ama uitekelekeze kwa hasira jay million.

Hapa kama wanatulazimisha tuingie mchezo wao wa kihuni na uongo wa jay million
 
But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.
Basi ni kuachana nao kama ni hivyo.
 
Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka.
Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na kuingiza kwenye simu yangu ila ghafla nimeshangaa kutazama salio nimejikuta na sh 750/= nikafikiria kwa kina kutokana na sote tunatambua maisha ya kitanzania nimagumu nikaona bora niwapigie Voda huduma kwa wateja angalau waweze kunirudishia kile kidogo walichokichukua bila idhini yangu ila hali ilikuwa tofauti pale mhudumu huyo kunieleza jambo kama hilo haliwezekani, Nilisikitika sana na sasa nataka kuitupa laini yangu niliyokuwa naipenda ya vodacom.

Bado kuna watu wanawaamini vodacom...! Mimi waligawa namba yangu kwa mtu na wakakachukua pesa yangu 17 kwa m-pesa niliapa kutotumia vodacom nikiwa hai hapa dunian. Mwaka wa nne sasa.
 
kesho naenda kununua line ya TIGO Na AIRTEL, vODA baibai :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Voda njoni huku mjibu tuhuma kama wenzenu wa NMB. Hata mimi ninawajua ninyi ni wezi nimeshama ina wiki 3 sasa.
 
Kwa nin wadau isiwekwe thread moja ambayo ni sticky iandikwe Vodacom mtandao unaoongoza kwa kulalamikiwa na wateja.
Hata huyo wazir mhusika mwenyew hata ajishughulishi hii kampun inaweza ikawa ya wazir mmoja mkubwa ndio maana hata haiguswi licha ya kulalamikiwa kila kukicha
 
But mkuu Katavi mbona mitandao mingine haina haya mambo ya ukiweka salio kama data iko on salio linatumika..Airtel bundles zao zikiisha hawachukui hata sent'tano ya mteja.ukitaka kuamini alichokisema mdau hapo juu,weka line yako kwenye Nokia torch then kaa dk10 angalia salio kama hukuweka mikono kichwani,voda ni wezi line yao wananikamatia m-pesa salio langu hawatokaa walione me yangu Airtel tu.

acha uongo hata airtel wanakata
 
Last edited by a moderator:
Voda wezi tu mimi mwenyewe na kisimu changu ki samsung cha tochi hakina data hiki jamani nikiacha kisalio wanaiba kama umeweka buku ukaacha masaa 24 hukuti kitu, Imenitokea na hakuna huduma niliyojiunga, saivi ni kuweka vocha na kuitumia hapohapo tu. Kila mtu sikuhizi mwizi sijui nani sio.....
 
kesho naenda kununua line ya TIGO Na AIRTEL, vODA baibai :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
Tigo nao ukiacha Salio hilo unakua umechangia wahisani. wote ni walewale ndugu. Sijui watu wa Airtel na Zantel Na Smile TTCL wanasemaje kuhusu hili?
 
They only reason hio hela imepungua ni kwamba, pindi unaweka hio vocha hukuzima data. Hivyo pindi vocha imeingia ikaanza kuliwa kwa vile apps kama watts app, insta zinakuwa zinafanya kazi on background. Inabidi pindi ukiweka vocha zima data.

kila mtu anajua kuzima data mkuu issue ni hao voda hovyooo sana me ina line ila siwez thubutu tia vocha
 
Vodacoma mnazingua kw kweli....nimeweka kifurushi cha wiki GB1 kwa 4200 after one day kimeisha....yaani gb 1 inaweza kuwa mb 500 maana nkitumia mtandao wa tigo kwa matumizi yale yale inakaa wiki nzima
 
Hamia airtel mkuu usipate shida at least vifurushi vyao ni nafuu buku wanakupa mb Mia nane.
 
acha uongo hata airtel wanakata

Sawa yawezekana wote ni wezi ila voda wamezidi mimi sijawahi kukatwa salio langu ktk line ya Airtel,ila karibia wateja wote wa Vodacom wanalalamika unaweza kuona tofauti ktk hili.
 
Back
Top Bottom