Priva mella
Member
- Oct 31, 2012
- 81
- 28
Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka.
Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na kuingiza kwenye simu yangu ila ghafla nimeshangaa kutazama salio nimejikuta na sh 750/= nikafikiria kwa kina kutokana na sote tunatambua maisha ya kitanzania nimagumu nikaona bora niwapigie Voda huduma kwa wateja angalau waweze kunirudishia kile kidogo walichokichukua bila idhini yangu ila hali ilikuwa tofauti pale mhudumu huyo kunieleza jambo kama hilo haliwezekani, Nilisikitika sana na sasa nataka kuitupa laini yangu niliyokuwa naipenda ya vodacom.